Mlio wahi ku confirm njooni mmsaidie mdogo wenu hukuuSamahan wakuu, ningependa kujua unawezaj ku-confirm kuwa unaenda chuo fulani kama umechaguliwa zaid ya chuo kimoja.
Ok saw shukran cnaKama upo multiple selection Una login kwenye account ya application ya chuo husika chochote kile ulichochaguliwa then utakuta kuna option 2 click here to confirm or ask to send confirm code utaclick option moja wapo hi ni baadh ya vyuo Kama UDOM hila vyuo vingine ukisha login utaclick sent confirmation code ukibovya utaandika namba yako ya simu then TCU itakutumia sms yenye code then utarudi kwenye account utaiandika hiyo code utaisubmit.
Umeelewa eOk saw shukran cna