kama kaiwah kuiformat ndio bas hio ila kama kaizima tu then atakuja kueka line utamjuaZote si email wala sms ilyoingia kunipa taarifa baada ya kurenew line tofauti na avast wanavyofanyaga so nashinda sasa msaada upi mwingine naweza pata
Na misteki niliyofanya ni kuwa katika seting sikuweka passwood mapema kaka, kwan ukirest sim ina maana had IME huwa inabadirika kaka?
kwa wewe haiwezekani ila nafkiri kwa mamlaka kubwa kama polisi au jeshi wanawezaso kuna njia yeyote ya kutrack kwa kutumia imei peke yake?
Nenda police na imei namba,simple tuChif mkwawa, na wengine juzi nilipigwa kimeo changu cha nokia xl, so nilikuwa anti theft lakin ya kaspersky ambayo kiukweli haijanipa msaada wowote kama kuna mwenye uzi basi aulete namna ya kuiblock