Naomba msaada computer yangu imegoma kuwaka

Naomba msaada computer yangu imegoma kuwaka

kandukamo1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
1,059
Reaction score
703
Salama?

PC yangu ni kampuni ya lenovo ina tatizo pindi ninapoiwasha inaonesha jina na kukata display tena huwaka na kuwa zoezi endelevu pasipo ku-ran programme yoyote.

Naomba msaada kama kuna mtaalam at least anisaidie kung'amua nini tatizo maana mie mgeni wa hizi mambo.
 
1. operating system
2. startup devices
3. hard disk..
operating system huenda kuna driver zina miss jaribu kuweka upya os
startup devices haijasetiwa ipasavyo hapa nazungumzia manual configuration ya IDE cable na JUMPER za hard disk na cd rom
hard disk ina matatizo inawezekana ina virus au imefika mwisho wake....
ila mkuu hyo ni laptop au desktop??? fafanua nikupe msaada kamili.. mana pc ni personal computer inaweza ikawa ni lap au desk
 
mhhh watakuwa chadema wameshaishawishi computer yako igome. we waite polisi na mijibwa yao ije ikusaidie tu !
 
VAN HEIST ni laptop. By aksante kwa msaada ingawa nauhitaji zaidi tena ili ikae sawia kimatumizi.
 
Last edited by a moderator:
Ubavu kuwa serious kidogo mkuu, kama elimu yako ya ngumbalu hapa hapakuhusu Fanya uwaachie wasomi.
 
Last edited by a moderator:
mm nmesoma political science so huwa nawaza kisiasa zaidi. btw sorry kama nmekukwaza !
 
kama ni laptop fanya yafuatayo
1. jaribu kuinstall operating system mpya (windows) inawezekana driver zina miss tafuta cd original copy mara nyng znasumbua
2. toa hard disk yako weka kwenye computer nyngne ifanye km external disk uone km inasoma fresh km ina virus toa hlf format yote
3. jaribu kubadilisha boot order kwnye startup devices
NB: option ya 3 iwe ya mwisho baada ya hzo nyngne kukupa matokeo km ya awali
 
Back
Top Bottom