Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,380
zinatumia OS gani? kama ni windows kwa nini usieke modem kwenye kompyuta moja halafu unaishare hiyo modem kwenda kwenye hiyo network.
Fungua open network and internet sharing.Ni windows boss. Na ndio kitu nataka kufanya
Zala Na Nga
Jaribu kuingiza default gateway ya LAN.Broo nimecheza sana na huo mchezo lakini wapii, nafikiri shida inakuja kwenye network configuration kwanye ma IP na DNS na Ma gateway. Hapo ndo sina utaalam huo
Zala Na Nga
Jaribu kuingiza default gateway ya LAN.
Kuijua default gateway lan ingiza hii command kwenye cmd, ipconfig /all
ndio sina sasa mzee. lakina kuna njia ni rahisi sana kwa wanaojuaKurahisisha maisha tafuta router.
switch = routerHapo kwenye maelezo yako mkuu sijaona router, ingekuwa simple.
Otherwise tafuta modem yenye built in wifi utafanikiwa.
Au ukiwa na modem isiyokuwa na built-in wifi jaribu kutumia software zinazoweza fanya tethering hotspot.
Ana switch tayari pamoja na UTP cables. Hii inamaanisha kuwa hana mpango wa kuziunganisha kwa njia ya wifi. Issue ya topology siyo ya muhimu hapa, cha muhimu ni kwamba ana ports za kutosha kwenye switch ambazo atachomeka cables zake wala hahitaji kujua details za aina ya topologyKama hazina wifi hotspot tengeneza topology maybe ring, bus.
Ili ziweze kuwasilisiana zote there must be a server machine so lazima uwe na server moja na ufanye configuration najua utashindwa tu kama uko dar nichek pm ntakusaidia kwa pesa ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una modem na switch pia na unataka kuunganisha kwa kutumia modem, switch unaihitaji kwa kazi gani sasa? Kwa nini utume modem wakati tayari una switch?
IP addres lazima upewe na ISP. Huhitaji kuwa na DNS kwa sababu hiyo ni kazii ya ISP, unless unataka pia kutengeneza domain yako mwenyewe, ambayo itabidi uingie gharama za ziada kulipia
Hiyo sasa ni kazi ya ISP, siyo ya kwako. IP Address wewe utazipata wapi bila kuwa na ISP?. Au wewe una mechanism ya kwako una uwezo wa ku-generate bandwidth ya kwako kiasi kwamba huhitaji huduma ya ISP?Sasa boss bila kuwa na modem internet inatoka wapi??? Kama kuunganisha tayari nimeunganisha. Issue ni kwamba kwenye computer ambayo nachomeka modem ndio inahitaji Network configuration configuration ili ku share internet toka kwenye hiyo computer ipasie switch na switch isambaze
Zala Na Nga
Pia brooo Makanyaga msome huyo jama hapo juu. Yeye kashajua nn mm nataka kufanya.Ni sawa kabisa, ni kweli sijakuelewa kwa sababu. Unashindwa nini kuziunganisha kwa kutumia switch? Kama tayari una switch, modem unaihitaji kwa kazi gani tena? Kwa sababu mimi ninavyoelewa, ili uweze kuunganisha, unahitaji kimojawapo tu kati ya modem, hub au switch. Wewe unataka kutumia viwili kwa wakati mmoja, kwa nini? Lengo lako ni nini? Angalau ungeniambia unahitaji switch na Hub kwa sababu labda pengine una Komputa nyingi ambazo haziwezi kutosha kwenye ports za switch peke yake, hapo ningekuelewa. By the way, switch yako si ina ports angalau 12?