Naomba msaada; baadhi ya keys za laptop yangu hazifanyi kazi

NGOSWE2

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
635
547
Habari za mida hii wana jukwaa!

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nahitaji msaada wa laptop yangu baadhi ya key hazifanyi kazi.

Ninalotaka kujua ni kuwa kuna uwezekano wa kutengeneza? Au kuna uwezekano wa kubadilisha keyboard yote?

Maana hivi vitu havijawahi nitokea na sina ujuzi wowote zaidi ya kutumia.
Natanguliza shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom