Habari zenu Ndugu Zangu Wapendwa, Matumaini Yangu Kuwa Mnaendelea Vizuri Katika Kusukuma Gurudumu La Maisha.
Nahitaji Msaada Wa Kujua Ni Chimbo Gani Hapa Mjini(Dar) Wanapotengeneza Key Holders Za Aina Mbalimbali Bei Zetu Zile Za Maombolezo.
Nawasilisha.