Naomba msaada: Anayejua tiba za jadi au mtaalamu anayetibu mtu aliyepata kiharusi upande mmoja wa mwili

Wauwee

New Member
Jul 8, 2020
2
3
Habari wakuu,

Naomba msaada anayejua tiba za jadi au mtaalamu anayetibu mtu aliyepata kiharusi upande mmoja wa mwili, (aliyetupiwa jini), wataalamu Tanga au Pemba.

Msaada tafadhali
 
Uko wapi?!na kwa nini unataka Pemba au Tanga? nikikupeleka sehemu hutaniangusha? maana nilishasaidia watu lakini mwisho wakanilostisha kwa huyo mtabibu.Njoo PM km uko serious!
 
Mkuu ukitaka mgonjwa wako atibiwe wapo watu wa kumtibia maradhi ya Kiharusi alichotupiwa jini na akapona lakini ukitaka Wataalam wa majina aka wanaotoka miji uliyo taja bora uende huko huko kwenye hiyo miji ukamtibie mgonjwa wako au ukatibiwe ugonjwa wako.Kwani hapa hutoweza kumpata Mtaalam anaye toka hiyo miji uliyoitaja. Kwani nijuavyo mimi huo ugonjwa nimesha wahi kumtibu mgonjwa yupo mjini Unguja na akapona wakati mimi sio mtu wa Unguja.
 
Mkuu ukitaka mgonjwa wako atibiwe wapo watu wa kumtibia maradhi ya Kiharusi alichotupiwa jini na akapona lakini ukitaka Wataalam wa majina aka wanaotoka miji uliyo taja bora uende huko huko kwenye hiyo miji ukamtibie mgonjwa wako au ukatibiwe ugonjwa wako...
Nimejaribu kukufatilia sana mkuu na inaonekana ni bonge la Dr.

Ngoja nijipange nitakutafuta siku sijazo
 
Back
Top Bottom