unaweza kuomba endapo barua yako itapitia kwa mkurugenzi wa ofisi yako..Asante mkuu,
Nicheki kwa namba 0743231877 nikusaidiesalaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa mwajiriwa wa serikali, japo baadhi ya nafasi hazizuii mtumishi wa umma kuomba.Sijui hili lina ukweli gani,na kama nihivyo naombeni msaada jinsi yakufanya ili inapotangazwa nafasi ninayoipenda(nikiwa na sifa) niweze kuomba.
unaweza kuomba endapo barua yako itapitia kwa mkurugenzi wa ofisi yako..
Mkuu umeshaajiriwa serikalini yaan namaamisha una cheq number?changamoto nikwamba mfumo unakataa kwenye hatua za awali kabisa. Yan ile nikiminya tu neno "apply" inaniandikia Failed
Iko hivi, niliajiriwa serikalini na diploma. Nimeenda kusoma bachelor ya kitu kingine tofauti na ile diploma. Ninachotaka nikuhama taasisi ya zamani kwenda nyingine kupitia hii degreeFafanua vizuri mkuu, una fani mbili tofauti au??
Na lengo unataka kuhama taasisi moja ya zamani ili uapply kwenye taasisi nyingine??
Kuhusu sifa huwa nakuwa nazo kulingana na kazi iliyotangazwa mkuu. Qualifications nimejaza zote kwa usahihi kwani kuna jamaa anautaalamu wa hizo mambo alizipitia na kujiridhisha kuwa zipo sawa.Nicheki kwa namba 0743231877 nikusaidie
Yawezekani kwenye qualifications ulijaza vibaya , au hauna sifa ya kuomba kazi unayoapply
Kama unahitaji kuhamia taasisi B kupitia shahada omba uhamisho kupitia mfumo wa hiyo taasisi B with recategorization,kuliko kuanza kuomba upya kupitia ajira portal.Iko hivi, niliajiriwa serikalini na diploma. Nimeenda kusoma bachelor ya kitu kingine tofauti na ile diploma. Ninachotaka nikuhama taasisi ya zamani kwenda nyingine kupitia hii degree
Sasa hii huwezi kuhama kwa ku apply kupitia ajira portal mkuu,Iko hivi, niliajiriwa serikalini na diploma. Nimeenda kusoma bachelor ya kitu kingine tofauti na ile diploma. Ninachotaka nikuhama taasisi ya zamani kwenda nyingine kupitia hii degree
we nicheki kwenye hiyo namba tuone nakusaidiajeKuhusu sifa huwa nakuwa nazo kulingana na kazi iliyotangazwa mkuu. Qualifications nimejaza zote kwa usahihi kwani kuna jamaa anautaalamu wa hizo mambo alizipitia na kujiridhisha kuwa zipo sawa.