Msaada kuhusu Airtel na 4G

Msaada kuhusu Airtel na 4G

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari wadau..nipo Mkoani na hapa kwenye kamji ketu Airtel walifunga 4G kwa hyo nikaenda ku swap line na mimi ni enjoy 4G,ajabu imekuwa mateso internet napata kasi nzuri ila nikipigiwa sipatikani hewani na sms haziendi nikituma hata nkitumiwa haziji.Cha ajabu hii lain nikiweka kwenye simu ndogo tatizo linaisha na pia hii smu nikiweka laini nyingne tatzo linaisha, nmewapgia Airtel sjapata msaada nmeambiwa ntembee Airtel shop nmeenda inaonekana nao hawajui maana wanadai watu weng wamekumbwa na hilo tatzo je kuna mwenye experience na hii na alitatuaje?msaada wKuu
 
4g Tanzania ni internet tu hatuna volte ya sauti

1.Uwezekano smartphone yako imesetiwa ama imejiseti 4g hivyo huwezi kupatikana, solution Nenda setting then mobile network kwenye network mode jaribu kuweka auto usiforce.

2. Pengine simu yako haina band 2100 ya 3g ama band ya 2g ya airtel, ukiweka 3g only inakamata mtandao?

3. Jaribu kuandika ##4636## kama simu yako inakubali itakuja menu ya kuchagua band na aina ya network jaribu kutweak humo.
 
Ni iphone 6 Mkuu..nikiweka 3g only inakamata Mtandao ila menu ya 2g only haipo mpaka niweke Voda/tiGO au Halotel,kingine Mkuu hv iphone 6 hazikamati 4G ya Halotel kwann?
 
Nenda kwene setting -> network-> then chagua 3G or 4G weka automatically yaan mtu akaikupigia ina change yenyewe kwenda 3G na ukitaka internet inachange pia yenyewe.
 
Mkuu nikipigiwa inashuka yenyewe hadi 3g automatically.
 
Ni iphone 6 Mkuu..nikiweka 3g only inakamata Mtandao ila menu ya 2g only haipo mpaka niweke Voda/tiGO au Halotel,kingine Mkuu hv iphone 6 hazikamati 4G ya Halotel kwann?
Nimecheki iPhone 6 inayo band 7 hivyo inakamata 4g ya Halotel, unless ni hizi refurb zetu..

Hii mitandao ya Marekani wana Roho mbaya sana mkuu, Sasa hivi wameanzisha mitindo mtandao mmoja unatumia band mbili tofauti moja ya download tu na nyengine ya upload tu, hivyo hali imeizidi kuwa ngumu.

Na pia kwa iPhone setting hizo za 2g, 3g etc zinatofautiana mtandao na mtandao inawezekana tatizo likawa ni Airtel wenyewe.
 
Hata mimi nimehisi Airtel wenyewe wanashida maana nimeweka line kwenye simu ndogo bado kupatikana shida..kuhusu Halotel kutosoma 4G mpaka sasa sjaelewa tatizo.
 
Halotel kwenye iPhone inasoma LTE not 4G.
 
Basi hiyo Laini yako sio 4G au eneo ulilopo hakuna 4G.

Mkuu eneo lina 4G za Voda,Airtel na Halotel na nlienda ku swap line ya Halotel nkapewa 4G na smu n 4G..kuthibitisha hilo kuna wenzangu wana smu za Android wanatumia 4G ya Halotel kama kawaida.
 
Habari wadau..nipo Mkoani na hapa kwenye kamji ketu Airtel walifunga 4G kwa hyo nikaenda ku swap line na mimi ni enjoy 4G,ajabu imekuwa mateso internet napata kasi nzuri ila nikipigiwa sipatikani hewani na sms haziendi nikituma hata nkitumiwa haziji.Cha ajabu hii lain nikiweka kwenye simu ndogo tatizo linaisha na pia hii smu nikiweka laini nyingne tatzo linaisha, nmewapgia Airtel sjapata msaada nmeambiwa ntembee Airtel shop nmeenda inaonekana nao hawajui maana wanadai watu weng wamekumbwa na hilo tatzo je kuna mwenye experience na hii na alitatuaje?msaada wKuu
Simu yako iko kwenye 4G Only mode ukiitoa au ukiset auto 2G/3G/4G itakua inapatikana...
 
Kitambo rudi xiaomi tule raha duniani kiongozi

Mkuu Xiaomi nliwapotezea walipoamua kutengeneza masimu yenye onscreen keys..napenda simu iwe angalau physical button moja kama hz iphone za zamani.
 
Back
Top Bottom