Mr Eko
Member
- Aug 29, 2008
- 21
- 0
Habari za leo wanajamii,
Nimeombwa kutafuta marekebisho ya sheria ya kazi "Employment and Labour Relations Act, 2004". Kuitambua document husika inanipa taabu.
Kwenye website ya Bunge sijaona marekebisho (amendments) ya hivi karibuni. Ila zipo documents za miaka ya nyuma zenye maelezo kama "An Act to amend certain Labour Laws" mwaka 1975, 1982, n.k.
Document ninayoitafuta ndiyo yafanana hivyo, au sio?
Ukiacha hiyo hapo juu ambayo kichwa chake utakuta kimeandikwa "The Labour Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 1982" ...hii hapa chini ni kitu gani tena?
"Employment and Labour Relations (Code of Good Practice) Rules, 2007" Hii imo kwenye website ya ILO.
http://www.ilo.org/dyn/natlex/natlex_browse.details?p_lang=en&p_isn=76278
Nchi yetu iko nyuma sana kwenye matumizi ya mtandao na mawasiliano ya electronic; inasikitisha ile mbaya!
Naomba msaada wenu namna ya kupata online copy ya hiyo sheria ya kazi kama inapatikana. Waweza kunipa link, na kama unayo kwenye PC yako tafadhali naomba unitumie kwa email.
Wanafunzi wa Open University kwa mfano, huwa wanapata wapi hizi sheria zaidi ya pale "duka la vitabu la serikali"?
Niko tayari kununua kama kuna mtu anazo kwenye CD.
Asanteni sana.