Ndugu si uende bank husika ukaukize wakuelekeze🙄Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
😂😂😂😂😂😂😂Moderators Wana kazi kweli kweli. Tuwaombee. Maana hii ndiyo mida ya misukosuko kwa JF