Naomba mnitajie shule za vipaji Tanzania

Naomba mnitajie shule za vipaji Tanzania

Hizi zipo chache sana..!

Kwa boys
1. Kibaha
2. Mzumbe
3. Ilboru
4. Kisimiri (sijui kama kuna girls hapa)
5. Tabora Boys

Kwa girls nyengine nmezisahau
1. Msalato
2. Tabora girls

Nilizo zitaja hapo juu nnauhakika nazo, nmeona wadau wamezitaja nyingine ambazo kiukweli hafikai kwenye category hii..! Shule kama Azania na the like hizo zinakaa kwenye kundi la shule za ufaulu mzuri. Ila shule hizi nilizotaja ni za Vipaji maalumu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hii issue ya shule za vipaji naona limekaa kisiasa zaidi..! Na hata kama kwenye hizo shule watakuwepo wenye vipaji basi wanaweza wasizidi kumi...!
 
Chato Secondary na Kolomije Secondary.

Vipaji vya umungu watu na maamuzi ya mwendokasi.
 
Sijui baada ya mabadiliko ya karibuni lakini enzi zetu nakumbuka zilikua hizi hapa:-

Ilboru
Mzumbe
Tabora Boys
Tabora Girls
Kibaha
Msalato
Kilakala

Kisha kulikua na za Ufundi

Moshi Technical
Ifunda Technical
Tanga Technical
Mtwara Technical
Iyunga technical
Bwiru boys
n.k
 
Hizi zipo chache sana..!

Kwa boys
1. Kibaha
2. Mzumbe
3. Ilboru
4. Kisimiri (sijui kama kuna girls hapa)
5. Tabora Boys

Kwa girls nyengine nmezisahau
1. Msalato
2. Tabora girls

Nilizo zitaja hapo juu nnauhakika nazo, nmeona wadau wamezitaja nyingine ambazo kiukweli hafikai kwenye category hii..! Shule kama Azania na the like hizo zinakaa kwenye kundi la shule za ufaulu mzuri. Ila shule hizi nilizotaja ni za Vipaji maalumu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarime boyZ sec school eeeh bwana weeeh pale km Pora upigi kisado na maandazi ya Baghdad unasepa mapema tu maana kile ni kipaji mkuu....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Hakuna shule ya vipaji maalum ila kuna shule za watu/wanafunzi wenye vipaji maalum
 
Hizi zipo chache sana..!

Kwa boys
1. Kibaha
2. Mzumbe
3. Ilboru
4. Kisimiri (sijui kama kuna girls hapa)
5. Tabora Boys

Kwa girls nyengine nmezisahau
1. Msalato
2. Tabora girls

Nilizo zitaja hapo juu nnauhakika nazo, nmeona wadau wamezitaja nyingine ambazo kiukweli hafikai kwenye category hii..! Shule kama Azania na the like hizo zinakaa kwenye kundi la shule za ufaulu mzuri. Ila shule hizi nilizotaja ni za Vipaji maalumu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisahau Kilakala tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom