Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Samahani, WanaJF!
Naomba mnitajie majina ya vitabu vya Information Technology (IT) vinavyohusiana na "DATABASE, "NETWORK" & "HACKING SYSTEM" navihitaji sana.
Kama mnazo link za vitabu hivyo niungieni ili nivisome na kuvipakua.