Chukua biblia weka mezani iangalie kama robo saa ukiwa kimya angalia mwili wako angalia tena biblia dakika moja pata picha unaungua mwili mzima ubongo unatokota afu hufi angalia biblia we iangalie kama dakika tano pata picha upo mbinguni unafuraha na amani,unaimba na kusifu,milele na milele angalia neno BIBLIA fumba macho sema asante yesu kristu uliye hai mwana wa mungu fumbua macho ibusu afu tabasamu fungua ukurasa wa kwanza anza kusoma Mungu akubariki