Naomba mnisaidie kutaja marais wababe zaidi duniani waliopo sasa kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho.

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,625
3,141
Wana jf, nimeona ni vema tushirikishane kuwatambua marais wababe na wenye msimamo mkali waliopo sasa duniani. Zamani tulikuwa na Hugo Chavez, Kim Jong II,Saddam nk. Naomba mchango wenu.
 
Kuna kitu cha Philippines Deurtete Sijui kama inaandikwa hivyo na yule mwenzie aliyewauwa wale jamaa wa madawa ya kulevya last year ambapo hadi Ban Ki aliingilia kati lakini akashindwa, anaitwa nani yule jamaa? Ngoja niimtafute nikuwekee hapa
 
Daaah basi bwana, mi Nina orodha ya maRais wapole zaidi duniani na number moja ni Mh Rais Magufuli wa Tanzania.
Pongezi zako.......

Umestuka mapema na 'kuavoid' usiitwe mchochezi iwapo utausema ukweli bila kupepesa macho.......
 
Durtete
Vladmir Putin
Kim jong II N.korea
Trump
hao ndo naona watata kwel kweli kwa kipindi iki
 
Kuna kitu cha Philippines Deurtete Sijui kama inaandikwa hivyo na yule mwenzie aliyewauwa wale jamaa wa madawa ya kulevya last year ambapo hadi Ban Ki aliingilia kati lakini akashindwa, anaitwa nani yule jamaa? Ngoja niimtafute nikuwekee hapa
Anasema akimdaka muuza madawa ya kulevya anampakia kwenye ndege na kupaa naye angani kisha anamuachia free fall!
 
Duterte-ufilipino
Putin-urusi
Kim jong un-korea kaskazini

Magufuli-Tanzania, huyu ni unique case kwani tunamuita mbabe uchwara, ana wafanyia ubabe wana nchi wake tu na ubabe wake hauleti tija kwa taifa lake
Uko salama,server iko ulaya,hawawezi kukutrace wakiwa bongo!
 
Wana jf, nimeona ni vema tushirikishane kuwatambua marais wababe na wenye msimamo mkali waliopo sasa duniani. Zamani tulikuwa na Hugo Chavez, Kim Jong II,Saddam nk. Naomba mchango wenu.
Mbabe wa kwanza ñi Magufuli kama nifanya uchochezi basi liwalo na liwe.
 
Back
Top Bottom