Naomba mnisaidie jamani

Sasa huyu ana B,C na D anakua na points ngapi?

Dogo ana cut off points above almost kila medical school hapa bongo

Kitu cha kuhofia kwa sasa ni ushindani tu
apo chem na bios ana point tano.. labda kampala tu
 
Msiwe mnaongea vitu ambavyo hamvijui,masomo matatu yote yanahesabiwa

Nenda kaangalie guide book ya TCU
wewe ndio hujui... basi endelea kujikaanga kwa guidebook.. kama huna B ya bios na B ya chem utaendelea kuisikia muimbilii kwenye redio na magazetii
 
Niko Muhimbili huu mwaka wa nne mdogo wangu

Hebu pitia hizo shots za vyuo tofauti ujielimishe

Halafu tafuta mtu anaesoma hapa akwambie alama alizoenda nazo

Guide book ya mwaka jana (2016/2017) inasema lazima uwe na minimun cut off point ya 8 kwenye masomo yako mawili ili uweze kuwa admitted muhimbili (MD)..............kwahyo kwa matoke hayo hutaweza kuchaguliwa MD...labda koz nyingne au uchague ka kcmc ila co muhimbili
 
Nimeattach shot ya TCU guide book 16/17 kwa MUHAS

Nioneshe wapi wamesema masomo mawili
 
Sasa huyu ana B,C na D anakua na points ngapi?

Dogo ana cut off points above almost kila medical school hapa bongo

Kitu cha kuhofia kwa sasa ni ushindani tu
Kwa muhimbili anatakiwa kuwa na cut off point 8+
 
jamaa alikua mbishi bora umemuelewesha bado narudia tena muache ajikaange tu na guidebook ya kikwete.... badala y kutafta guidebook ya magu... ha a aaaa
 
bora umemuelewewsha jama alikua mbishi sana bado narudia tena muache ajikaange tu na guidebook ya kikwete.badala ya... ku tafta guidebook ya magu... ha a aaaa
 
Kwa sasa maombi yote yatumwe chuo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…