Natanguliza salam waungwana kwenu nyinyi, kwanza mimi ni new member nilie hitimu mtihani wakidato cha sita mwaka jana(2016) katika combination ya pcb ambapo nlipata alama kama zifuatazo katika masomo yang :-
Physics B
Chemistry C
Biology D
kutokana na ufaulu huo naweza kusoma doctor of medicine(MD) muhimbili, udsm au sua.
Pili ninamdogo wangu kamaliza kidato cha nne mara hii na kapata div2 anataka kusoma diploma muhimbili naomba mnisaidie utaratibu ili na mimi nikamjuze.
Naomba msaada tafadhali
Kwanza nakukaribisha Jukwaani, Karibu the Home of GT.Natanguliza salam waungwana kwenu nyinyi, kwanza mimi ni new member nilie hitimu mtihani wakidato cha sita mwaka jana(2016) katika combination ya pcb ambapo nlipata alama kama zifuatazo katika masomo yang :-
Physics B
Chemistry C
Biology D
kutokana na ufaulu huo naweza kusoma doctor of medicine(MD) muhimbili, udsm au sua.
Pili ninamdogo wangu kamaliza kidato cha nne mara hii na kapata div2 anataka kusoma diploma muhimbili naomba mnisaidie utaratibu ili na mimi nikamjuze.
Naomba msaada tafadhali
DuuuuhBam nimegonga E
Ahsante , Mungu akubariki
MD ya SUA ndio naisikia leo, anyway potezea medicine hapo, upo qualified lakini kupata ni ngumu, labda vyuo kama st.joseph na st.francis,
Fight upate nafasi ya clinical medicine diploma, hapo angalau ni uhakika kupata.
mkuu kwa hali ilivyo sasa ni vigumu, hebu mwambie a- calculate cutting point kwa hizo marks halafu uone, MD kwa uhakika angalau mtu awe na cutting points 6+Bora ungemshauri aende CUHAS,SAUT Songea (AJUCO) au hata KIU
Yani diploma?Kwamba akitaka md aanze tena kuitafuta miaka 5!...That is not good
mkuu kwa hali ilivyo sasa ni vigumu, hebu mwambie a- calculate cutting point kwa hizo marks halafu uone, MD kwa uhakika angalau mtu awe na cutting points 6+