Naomba mnipokee ndungu zangu wana jamii

Naomba mnipokee ndungu zangu wana jamii

Joined
Jan 6, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Habari zenu bana, mimi ndio kwanza najiunga na jamii forrum hivyo naomba turushiane kila kilicho kizuri especially vacances
Hasanteni sana wakuu!
 
Hebu pitia menyu ndo utupe stori
liquor1.jpg
 
Kwa hisani ya valid statement, mpe glas mbili za kinywaji namba 7 hapo.
Karibu jf.
 
Karibu wali wa nazi na samaki tasi! Maji bariidi, muhandisi wa umeme!
 
mbuzi katoriki kwa sana upande huu kushoto...ukifika sema nimeagizwa mdudu na Leonard.
 
karibu, jf wakarimu sana menyu iko hapo juu, chagua upendacho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom