Naomba mnipokee JF

Naomba mnipokee JF

Kareena Kapor

New Member
Joined
May 4, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Habari zenu.

Naomba mnipokee hapa JF ni member mpya na naomba munikaribishe.

Natanguliza shukran
NAMASTE
 
Naja kukupokea! Unashukia Stendi ya Mkoa Ubungo au Umekuja na Treni?
 
Karibu sana, bado upo na seleman Khan? Hebu badili jina hilo[emoji41]
 
Oh! Karibu Kareena Kapor! Sijui kama umesoma kipengele kinachosema unapokuwa na issue yoyote, unatakiwa kuwasiliana na chige ... yaani mimi ambae ndie mkuu wa idara ya members wapya!

Kwa kuanzia, itabidi kwanza nihamishe hii thread yako niipeleke Jukwaa la Utambulisho manake hapa Jukwaa la Habari Mchanganyiko; sio pahala pake!
 
Karibu.

Ila ukweli wew sio mgeni kubali kataa.
Kwa mwandiko huo wew si mgeni bali ID mpya.
Ila karibu ivoivo.
 
Karibu, pata kupitia sheria za JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom