Naomba Mnipe ushauri kuhusu huyu mke wangu

Kaka pole sana hao ndiyo wanawake achana naye hat Biblia iko wazi kabisa kwamba, wanandoa huachana kwa dhambi ya uzinzi na si vinginevyo. Hivyo muache Mungu hata kuhukumu kwa hilo.
Mwisho
 
aah hii ume2nga tena bila kujipanga, kwa hali ya kawaida usingemruhusu mara ya pili aende uk wakat at first alikudanganya na ukapata ushahid tena akakiri, labda uwe *****.
sio wote walio na moyo km wako au mawazo km yako.
 
hm,mi sipo ndoani ila naomba nikushaur kutokana na uwezo wa kichwa changu kilipofikia;kwanza kabisa pole kwa yaliyokukuta,kila ndoa animatatizo yake,kumwacha mkeo si busara au suruhisho,uliweza kumsamehe mara kadhaa,msamehe na kwahili,naiman na kuamin unampenda sana mkeo ndo mana upo nae hadi leo,jaribu kukaa nae kinafasi ya urafiki sio kimume...muulize vizur huku ukimtoa wasi,labda sahizi anashindwa kukuambia cz anaogopa kuachwa.asipokuambia jaribu kushirikisha na wazaz au ndugu wowote unaoona wao wanauwezo wa kukusaidia swala hili, kimsaada zaid.
 
Kama hii si story ya kutunga basi mkuu wewe ni mmoja kati ya wanaume nadra sana kwa uvumilivu, hakika kizazi cha sasa wanaume wa namna hiyo hawapo wengi na unastahili uivumilivu kwa uvumilivu huo!! pili pole sana kwa yote ila ki ukweli ni kuwa huyo mkeo ni kunguru na hivyo hafugiki, inaonyesha bado wanapendana na huyo jamaa, na huko ulaya ndio kunakomzuzua...
ungejaribu kwenda kwa wazazi na ikiwezekana mrudishe mkeo nyumbani kwao kwa muda hii itasaidia yeye kupembua akili yake akiwa hayupo nawe karibu, na kuona una umuhimu gani maishani mwake.. labda atarudi kwenye akili yake ya kawaida, omba sana mungu....
 
Polee bro mm sijaoa na wala mambo ya ndoa siyajui ila hapo mm naona ww ndo unapenda ila yy yuko na ww kwa sababu fulani.....kama vp we ng'atuka
 
You are Luck, ukapata mtu akakupigia na kukupa details sasa chukua akili yako changanya na za huyo aliyekutumia taarifa. Amua ndoa ni wewe na mkeo sisi wapambe tu bwana amua mwenyewe. Kama ni mimi ilikuwa inatosha ile ya awali tu
 
Duh!Haya mambo mbona yanatutisha sana ambao tunataraji kuingia kwenye ndoa muda mfupi ujao,sijui niendelee tu kuwa msela??
 
Back
Top Bottom