Naomba mniondolee utata huu kati ya Tecno C8 na C9

7260cafd68f7cf3a521349e72256c053.jpg

hii ndo raha ya j 8 ukiimodify boya boya hawaelewi hiki nini nngekuwa na uwezo ningetoboa duara lakati nimalize mchezo
mbona kama iphone ni launcher au
 
Tecno zote ni mimba mkuu, hamna lolote, jichange nunua kitu kizuri, wakinickia wabadilike mmenikera
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.

Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela vyangu na kutaka kununua.

Kikwazo kilianza baada ya kuanza kuulizia sifa zake, wapo walioniambia sio nzuri, zipo slow, isitoshe camera yake sio nzuri ukilinganisha na Tecno c8, wakaniambia ni bora c8 kuliko c9.

Kwenye wengi kuna mengi, naamini wapo wajuvi wa haya mambo au waliowahi kutumia simu hizi, waweze kunipa ushauri kuhusu hili suala maana limekuwa likiniweka njia panda.

Mwisho kabisa budget yangu ni laki 3 na nusu, kama kuna simu nyingine mnayoifahamu ni nzuri zaidi ya hii naweza pata kwa hiyo, iwe mpya pia sio mbaya mnaweza mkanipa mawazo yenu.
 
Tembelea TECNO SMARTPHONES Jukwaa maalumu kwa watumiaji wote wa Tecno na Ujifunze mengi Kuhusu TECNO SMARTPHONES
 
Mm natumiaaa tecno c7 lakin kabla ya kununuaa hii nilishinda mtandaon sanàa kuangaliaa ipi nzur kati ya c7 c8 c9. Nikagunduaaa. Upande wa camera c7 na c9 zote camera zinalinganaa zote camera ni 13 mp mbele na nyuma ila c8 mbele ni 5 mpb na nyuma ni 13 mp. Na ram kwa c7 na c9 ni 2gb ila c8 ram ni 1gb. Hii c7 ipo faster sana ila c9 ni best kuliko zotee. Utofaut wake wa c7 na c9 ni ukubwa wa screen na vitu vingne vidogo sana
Tembelea TECNO SMARTPHONES Jukwaa maalumu kwa watumiaji wote wa Tecno na Ujifunze mengi Kuhusu TECNO SMARTPHONES
 
kati ya simu nilizowahi kutumia, c8 ni the worst of all.. kwanza:-
c8 ina 1gb ram, 5mpx rear camera, haina 4g n.k... kiufupi c9 is the best
I think j8 kiboko yao ipo faster, net IPO bien(4G za mitandao yote bongo inakubali), camera nzuri, inakaa sana na Chaj.
 
Back
Top Bottom