Naomba mnijuze, nmeng'atwa na Mbwa

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Ni mda mfupi umepita nikiwa navipa mazoezi vimbwa vidogo vya mwezi mmoja na wik 3, kimojawapo kimenipiga jino ktk kidole na damu kutoka je ktk udogo huu wa hawa mbwa kuna madhara yeyote naweza pata ?
 
Ndio unaweza pata mkuu.

Hawa wanyama huwa ni carriers(hosts) wa bacteria na virus ambao wao kwao hawana madhara ila ni hatari kwa wanadamu au viumbe wengine, huwezi jua huyo mbwa kabeba virus wa ugonjwa gani.

Nenda hospitali kapige sindano.
 
Ni mda mfupi umepita nikiwa navipa mazoezi vimbwa vidogo vya mwezi mmoja na wik 3, kimojawapo kimenipiga jino ktk kidole na damu kutoka je ktk udogo huu wa hawa mbwa kuna madhara yeyote naweza pata ?
mkuu nenda kachome sindano za kichaa cha mbwa, usipuuze kabisa
kuna alikufa baada kupuuzia aling'atwa na mbwa wake ambaye alimnunua polisi
akaamini kwamba mbwa wa polisi wako salama
 
Asante mkuu
 
269e215009b75b4fd5174944e1f3ba3d.jpg
 
Back
Top Bottom