National Institue For Medical Research.[NIMR]Hbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
Nimesikia tu hela ipo lakini kwa wale researchers wanaosafiri kwa ajili ya tafiti ila kwa technician sijui sanaHbr za Leo wakuu naombeni msaada mnielimishe kuhusu taasisi ya NIMR kuhusu ajira zake huwa zinatangazwa ? Na vip kuhusu mishahara kwa upande wa degree ya lab technician anaeanza?
Mkuu wewe unawaza HELA tu ili upambane upate upenyo hapo!?? Ukiwaza sana kuhusu HELA hutapenda kazi yako!!Nimesikia tu hela ipo lakini kwa wale researchers wanaosafiri kwa ajili ya tafiti ila kwa technician sijui sana