Naomba mnielekeze namna ya kufika uwanja wa fisi nikiwa Manzese darajani

mwanvido

Member
Jan 21, 2017
30
29
Nataka nikafanye research uwanja wa fisi tafadhali anayefahamu njia nikiwa darajani anielekeze. Its agent wadau
 
Kodi boda boda sema nipeleke uwanja wa fisi anakupeleka faster, kuuliza humu inaelekea una lako jambio
 
we nenda kichwa kichwa utajikuta unaporwa hata hicho kisimu chako kuna malaya na mateja wa kiwango
 
ukishuka darajani kama unatokea ubungo, fata barabara ya mkono wako wa kushoto, mbele kidogo pita kulia kwa kufuata hiyo barabara ya rami mpka sehemu utakapoona transonfomer za umeme nying sana kwa upande wa kushoto, then ingia kulia kwako, hapo utakuwa umefika uwanja wa fisi
 
Pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom