Habari ya leo wana JF,
Ninawakimbilia tena mnielekeze namna ya kuitunza na kuisafisha friza! Nashukuru Mungu baada ya kuwauza kuku wangu wa urithi nimenunua haka kafriza ili kanisaidie niwe nauza barafu kwani eneo nililopo watu wanapenda sana barafu!
Ninaomba ajuaye anielekeze namna ya kuisafisha na kuitunza vizuri ili idumu. Ninauliza kwa sababu mimi bado ni mgeni sana wa vifaa hivi vya kisasa.