Right click on desktop select Properties >>graphics card ntaijuaje? Niingie wapi ili niione? Inahtajka ya ukubwa gani mkuu?
Right click on desktop select Properties >>
Settings >> Advanced >> Adapter and you
will see what type of graphics card the
computer has.
Bonyeza start halafu click control panel halafu click system and maintanance halafu click perfomance na information tools soma windows rating the way computer yako ilivokua rated kwenye hard disk, processor, graphics card na ram ili kuweza kudetermine computer yako imetengenezwa kwa ajili ya nini
Hiyo ni onboard graphics card ambayo inakuja na motherboard haifai kwa gemu kusema ukweli, itabidi ununue Graphics card, ila hiyo PC ni ya zamani sijui kama utaenjoy hata na graphics card maana GIG 1 ya RAM itakuwa shida. Anyway nenda Can You RUN It | Can I run that game | Game system requirements kisha chagua gemu unayotaka kucheza, itakuambia kama PC yako inafaa au vipi.
zinaanzia na 45, hadi 90, kutegemea na ukubwa wa video memory coz kuna 128mb hadi 2Gbthx kaka, ni bei gani hzo nijichangechange.
Chip type:inter(r)82915g/gv/910gl express chipset
memory size 128 mb
Bios information: intel video bios.
haha, vga ya intel (in short zinazokuja na processor, ndo maana inasema internal) are very poor in terms of playing games. haswa ukizingatia kuwa hiyo chipset yako ina shader ya 2.0 (shader ni program inayotumika kupiga hesabu kwenye gpu ili iweze kutoa picha) wakati most modern games zinahitaji 3.0 na kuendelea. kama mkuu mmoja hapo juu alivyosema, you are better off buying a new gpu card. ila sio rahisi kama kununua hdd mpya na kupachika
maswala ya kununua graphics card mpya ni complicated coz kwanza ram ya card sio speed yake. mfano, kuna ati radeon 2400 ya 2gb itazidiwa nguvu ni ya radeon x1600 1gb hata kama 2400 ina vRAM kubwa zaidi. hii inatokana na maswala tofauti ambayo I wont get into right now. pili, kabla hujanunua gpu card mpya, lazima u consider what kind of pci slots your pc has ili upate the best performer. na ni lazima ujue kwamba sometimes ukinunua a new gpu card inabidi na psu yako iwe upgraded because most modern cards consume alot of power na unaweza (a) ukaiunguza mashine yako au hardware mle ndani kwa low power au (b) mashine ikashindwa kufunction at full perfomance coz power is too low. so mkuu, ukiamua kununua a new graphics card, mtafute mtaalam ( kama mimi haha :biggrin ili uweze kujiokolea shida nyingi
kwa saa hivi, tafuta gaming console nyingine, mashine yako haitacheza most good pc games
regards, leh