Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,185
- 9,249
Kaka mambo Huwa yana goma, kama unayo mpatie, nilishawahi kuugua na nika kosa namna, ACHA TU nilijifunza unapo pata pesa ni kheri uonekane mchoyo na bahili lakini umejilinda Kwa siku za usoniMkuu Nzona umepitia phonebook yako hata kama una majina 30 uliyosave ukaona kabisa hakuna wa kukukopesha 20K?
Em fanya hivyo tafadhali usiniangushe kiasi hiki!
Unamshauri yeye ampatie halafu hapo hapo unamshauri bora aonekane m bahili kujilinda kwa siku za usoni😅Kaka mambo Huwa yana goma, kama unayo mpatie, nilishawahi kuugua na nika kosa namna, ACHA TU nilijifunza unapo pata pesa ni kheri uonekane mchoyo na bahili lakini umejilinda Kwa siku za usoni
Hakuna pesa ndogo aisee pesa ni pesa,unataka aipate hapa kutoka kwa nani unaamini kama hadi mtu ana access ya kuingia JF ktk circle yake anakosa mtu wa kumkopa hiyo 20K?Kaka pesa ya mkopo, sio ya kutumia ni ya kufanyia biashara, atajiingiza kwenye matatizo mkuu, Bora hapa anaweza pewa sio kukopesha, pesa ndogo sana hiyoo
Sura ya kawaida yupojeAlafu ndugu zanguni tujitahidi tuoe au tuwe na DEMU geto wa kupika pakua dunia ya Leo haieleweki wakuu, Sito sahau nilivo ugua ugenini alafu Niko man alone, asee nilijifunza sana tafuta hata demu mwenye sura ya kawaida mkuu vuta geto mambo mengine mbele ya safari, Kuna muda huitaji hela unahitaji wakukuliwaza tu, ukae sawa
Ndo mana nime kwambia mkuu nilisha wahi kuugua acces ya kuingia jf ilikuwepo lakini sikuwa na kityu kabisa miaka hiyoooHakuna pesa ndogo aisee pesa ni pesa,unataka aipate hapa kutoka kwa nani unaamini kama hadi mtu ana access ya kuingia JF ktk circle yake anakosa mtu wa kumkopa hiyo 20K?
Kwani hao alioshauriwa awakope hawatoi kiasi kidogo kama hiko?
Sio mkali sana Wala sio sura ya dingi lakini hata akiwa na sura ya dingi kama shepu lipo vuta ndani hata kama hana shepu mlete nimuuzie vipodozi na supplement hatokua huyo kikubwa usikae singoSura ya kawaida yupoje
Sasa Bro humo kwenye bold unanishauri nini unanionya nini?Kaka mambo Huwa yana goma, kama unayo mpatie, nilishawahi kuugua na nika kosa namna, ACHA TU nilijifunza unapo pata pesa ni kheri uonekane mchoyo na bahili lakini umejilinda Kwa siku za usoni
Kaka huko riba alafu marejesho Kwa siku, alafu unaweka hela ndo unapewa hela upo hapo mkuu?Sasa Bro humo kwenye bold unanishauri nini unanionya nini?
Huyu solution aende akakope wanakokopesha humu kwa kusema akopeshwe ni uwongo labda useme asaidiwe.
Unawashauri wenzako ujinga, yani watu waoe wake bora liende tu , mwisho wa siku ukijipata unatafuta pisi za kiwango cha mafanikio yako nakumuumiza uliye oa🤔Sio mkali sana Wala sio sura ya dingi lakini hata akiwa na sura ya dingi kama shepu lipo vuta ndani hata kama hana shepu mlete nimuuzie vipodozi na supplement hatokuja huyo kikubwa usikae singo
Ligi zimeanzaKuna siri gani kwenye mkopo wa 20K?
Sijakuamini kabisa mdau kwa sentence hii ila kila la kheri kwa ombi lako.Nina majina hata 10 hayafiki ndo maana nikaja huku,
Huo utakua ulimbukeni, Kwa Nini usimbadili huyo demu kuwa pisi zinazo kutoa udenda mtaani, kaka nilipata demu hana Tako hana rangi kapauka hana sura, nikaanza toboka, badili vipodozi kila siku demu akaanza pendeza nyesha sana ma splmnts Tako Hilo wazee wakaanza tena kumtamani ilihali walidai Nina demu mbaya akawa demu mkali mtaani, alienda kuolewa na Mzee Mmoja Kwa kuhongwa duka kubwa na mazagazaga kibao, hata Leo nikitaka namgonga ni heshima tu alafu Sina taimu nae ukikutana nae ukaambiwa huyu hakua na Tako hakua mweupe huwezi aminiUnawashauri wenzako ujinga, yani watu waoe wake bora liende tu , mwisho wa siku ukijipata unatafuta pisi za kiwango cha mafanikio yako nakumuuza uliye oa🤔
Inawezkn the worst, mara nyingi nikiwa na shda na-m-refer manager wangu directly.... Ila Hawa wa view status km mimi jau sana mzee ingawa ni wachacheMkuu Nzona umepitia phonebook yako hata kama una majina 30 uliyosave ukaona kabisa hakuna wa kukukopesha 20K?
Em fanya hivyo tafadhali usiniangushe kiasi hiki!
tafuta maisha kijana, Wanawake wazuri wapo.Huo utakua ulimbukeni, Kwa Nini usimbadili huyo demu kuwa pisi zinazo kutoa udenda mtaani, kaka nilipata demu hana Tako hana rangi kapauka hana sura, nikaanza toboka, badili vipodozi kila siku demu akaanza pendeza nyesha sana ma splmnts Tako Hilo wazee wakaanza tena kumtamani ilihali walidai Nina demu mbaya akawa demu mkali mtaani, alienda kuolewa na Mzee Mmoja Kwa kuhongwa duka kubwa na mazagazaga kibao, hata Leo nikitaka namgonga ni heshima tu alafu Sina taimu nae ukikutana nae ukaambiwa huyu hakua na Tako hakua mweupe huwezi amini
Pole sana mkuu, najua hiyo hali nishawahi pitiaNina majina hata 10 hayafiki ndo maana nikaja huku,
Kwa Nini kaka? Mbona maisha ninayo mana najitegemea Kwa kila kitu na mengine siwezi sema hapa mkuutafuta maisha kijana, Wanawake wazuri wapo.