Naomba mjue thamani yangu

Naomba mjue thamani yangu

Mimi nilikuaga nazo kama 7. Kulikuaga na ticha mzungu anatufundisha Physics basi ukifaulu mtihani wake anakupa zawadi ya Four Figure.
Ilifika point nikipewa nagawa naona zinanihoves tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, wakati tuko form 1 kuna form 2 alikuwa na majivuno sana, muda wote ana Four Figure mkononi.

Akawa anajulikana yeye ndiye mtaalamu wa namba, ukimpelekea swali anakuuliza kama hili linakushinda utaweza kusoma Four Figure? Basi nikawa najua ni kitu ngumu sana hiyo Four Figure.
 
Kutishana tu

Trump nini wewee ,mwanza nyegezii kwetu nyegeziii
Unapotea sana Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mama njoo nikuone basi nipo hapa mwanza j pili naondoka.

Ukijiskia fresh tukutane The cast bana tule japo mbuzi. Jamaa akikubana haya next time ukija Dar tuta meet
IMG-20181228-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom