Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,075
- 6,193
Wabongo wengi wanatatizo sio kawaida aise. Inamaana wanasayansi wasifanye utafiti wao.Tafuta zako usaidie binadamu unavyotaka, usiwapangie wengine jinsi ya kutumia zao.

Wewe mtu mwenye roho ya kijicho na kutaka kupendelewa wewe umesikia habari chombo kimeondoka salama huko?Binadamu ni kiumbe mchoyo sana.
Kesho tarehe moja April 2026 chombo chenye nguvu cha shirika la anga za juu Marekani NASA Artemis 2 kitaipeleka Orion capsule kuizunguka mwezi na kurudi duniani.
Wanaanga wanne watakuwa kwenye hiyo "mishen" mwanamke mmoja pamoja na nigger mwenzetu ambaye atakuwa rubani ambalo ni jambo la kupendeza kwa matumbi.
View attachment 3565208
Ila kwa upande wangu naomba hiyo mishen isifanikiwe chombo kisiwake.
Huwezi ukatumia usd billion 40 kwenda kuzunguka mwezini. Wakati Binadamu wenzako wanashinda na kufa kwa njaa. Hii siyo sawa kabisa.
Namsifu sana waziri mkuu wa Uhispania ambaye anachukizwa na mambo kama haya ya kutumia pesa na rasilimali hovyo hovyo ambapo wangeeleza hizo rasilimali kuinua na kuboresha ubinadamu.
Mijitu yenyewe haimini Mungu. Mungu kawapa maarifa kiduchu tu wanajiona kila kitu. Basi kama wao ni genius wazuie kifo na uzee.
Ukichunguza hilo lichombo limetengenezwa na madini adimu kutoka nchi maskini wanaodhulumiwa rasilimali zao.
Hiyo mishen kesho isifanikiwe tu hao wanaanga wapewe majukumu mengine. Hakuna jipya wanaenda kugundua ama kuvumbua.
View attachment 3565209
Senior JF human rights activists and philanthropist
Pole mdau ilifanikiwa vizuri sanaBinadamu ni kiumbe mchoyo sana.

Kuna wadau ni wabaya sana.Pole mdau ilifanikiwa vizuri sana
Kazi inaendeleaKuna wadau ni wabaya sana.
Wao wanakaa mijini wakichokoana makalio badala ya kwenda kulima vijijiniNinyi mnaokufa na njaa mmeshindwa kulima ili mpate chakula?