[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisema uwape michango waanzie maisha kuna watu watakuwa wanaoa na kuacha kila mwaka. Suala la harusi ni suala zito sana na kwa sasa makabwela hata ingekuwa harusi yenye gharama ya Tsh milioni 5 bado tungeomba michango tu.
Cha msingi nadhani tusiwekeane viwango tu, kama nina elfu 10 chukua hiyo hiyo.
PRODA LTD
ahhaaaaa eti siku iliyolaaniwa ahahaaa jamaniHaya mambo ya kijinga we acha tu. Juzi juzi mmoja kidogo anirudishe wodini kwa kupandwa na nyongo. Alinitumia ujumbe huu:
Habari mpendwa, nakukumbusha mchango wa harusi ya (Jina lake)
itakayofanyika tarehe (siku iliyolaaniwa).
Wewe ni mtu wa muhimu sana kwangu, nakutegemea.
Muda uliobaki ni mchache sana kufanya maandalizi.
Mchango wako ufikishe kwenye namba 07XX656X67,
07X576X789 (Jina Lake).
Asante na Mungu akubariki!
Wakati ananitumia ujumbe wake huu mimi ndio kwanza niko wodini nauguza donda la operesheni. Nikamjibu kwa kumueleza hali yangu, naye akahitimisha kwa neno POLE SANA. Babake zake, mpk wa leo ni mwezi sasa sijasikia lolote toke kwake. Ndio najiuliza, MTU MUHIMU KWAKE ameshasahaulika?
Yani mimi Mpaka Nikasema nipo nje ya mjiKinachokera zaidi ni simu na msg zisizokwisha kisa amekupa kadi.
Bora aisee ulivyowadanganya mana hadi unakosa amani kwa sababu kila simu ikiita unawaza uongo wa kuwaambia.Yani mimi Mpaka Nikasema nipo nje ya mji
Yani kila siku message mwisho wakutuma mchango mchango. Atanipa mkewe na mimi nimfaidi auBora aisee ulivyowadanganya mana hadi unakosa amani kwa sababu kila simu ikiita unawaza uongo wa kuwaambia.
Ila saa nyingine wanazidi pale wanapofanya ni jambo la lazima wakati ni hiari.