Naomba mbinu za kushinda kesi hii ya utapeli bila shadihi

ekomu1

JF-Expert Member
Apr 15, 2018
294
329
Mimi kijana mpambanaji nimekuwa kwa muda mrefu nikifanya mishe zangu na biashara ndogo ndogo.

Kama mwenzi moja kuna dada moja ni rafiki yangu sana yule dada kwa bahati mbaya alikutana na wale matapeli wa kutumia madini fake.

Yule dada akiwa anakuja kwenye mishe zake alikutana nao wakafanikiwa kumtapeli pesa laki 8 simu mbili na vitu vidogo vidogo .

Sasa baada ya wiki moja alifanikiwa kuwakamata wale matapeli wakiwa kwenye harakati za kuwatapeli watu wengine ndio akapiga kelele wananchi wakawashika na kuanza kwawapa kipigo .

Kwa bahati nzuri kulikuwa na polisi pembeni wakawazui wananchi kuwapiga wakawakamata wale matapeli na kuondoka nao pamoja na yule dada wakaenda polisi kufika polisi taratibu nyingine zikafatwa .

Kama kufunguliwa mashitaka na kupandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka mara ya kwanza wakakataa kosa wakarudishwa mahabusu paka tarehe 10 mwenzi wa 4 kesi itapotajwa tena.

Sasa lengo la kuandika huu uzi ni kuomba msaada kwenu Wana jamii forum kwasababu yule dada ananiomba ushauri mimi ili aweze kushinda hiyo kesi na kupata haki yake

Sasa ndugu mimi siyo mzoefu wa mambo ya kesi wala ata sijui maswala ya sheria naombeni msaada wenu wa A B C kumuambia ili aweze kushinda kesi yake na kupata haki yake.

Kwasababu pale mahakamani ana ata shahidi yupo yeye tu na hao matapeli wanaonekana wazoefu kwenye kesi msaada wenu jamani afanye kitu gani asije kunjichanganya akakosa haki yake

Nitashukuru Sana mkinisaidia sitakuwa na chakuwalipa Mungu atawalipa.

Asanteni sana.
 
polisi hawakwenda kufanya upekuzi kwao hao matapeli? huenda wangekuta na vitu vingine vya utapeli.

Walipata dhamana wako nje hao matapeli?
 
Polisi awakwenda kufanya upekuzi wowote pamoja na matapeli kukiri kuwa simu bado wanayo ata kwenda nao tu wakalete simu waliwaweka ndani tu alafu akaambiwa aende nyumbani aje kesho yake asubuhi
polisi hawakwenda kufanya upekuzi kwao hao matapeli? huenda wangekuta na vitu vingine vya utapeli.

Walipata dhamana wako nje hao matapeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! hawa matapeli ni njoko, nisha shuhudia mara 4 watu waliotapeliwa wakilia kwa uchungu. Ndani ya huu mwezi walimtapeli mama moja Tsh 2000,000 na point, yule mama alilia sana!

5/5
 
Hahaaa .uhalisia wa mahakamani tofauti na emotions watazokuonyesha wadau huku...bila ushahidi kua alitapeliwa...na hapo means ushahdi hakuna...apo kesi hakuna..time will tell
 
Mimi kijana mpambanaji nimekuwa kwa muda mrefu nikifanya mishe zangu na biashara ndogo ndogo.

Kama mwenzi moja kuna dada moja ni rafiki yangu sana yule dada kwa bahati mbaya alikutana na wale matapeli wa kutumia madini fake.

Yule dada akiwa anakuja kwenye mishe zake alikutana nao wakafanikiwa kumtapeli pesa laki 8 simu mbili na vitu vidogo vidogo .

Sasa baada ya wiki moja alifanikiwa kuwakamata wale matapeli wakiwa kwenye harakati za kuwatapeli watu wengine ndio akapiga kelele wananchi wakawashika na kuanza kwawapa kipigo .

Kwa bahati nzuri kulikuwa na polisi pembeni wakawazui wananchi kuwapiga wakawakamata wale matapeli na kuondoka nao pamoja na yule dada wakaenda polisi kufika polisi taratibu nyingine zikafatwa .

Kama kufunguliwa mashitaka na kupandishwa mahakamani na kusomewa mashitaka mara ya kwanza wakakataa kosa wakarudishwa mahabusu paka tarehe 10 mwenzi wa 4 kesi itapotajwa tena.

Sasa lengo la kuandika huu uzi ni kuomba msaada kwenu Wana jamii forum kwasababu yule dada ananiomba ushauri mimi ili aweze kushinda hiyo kesi na kupata haki yake

Sasa ndugu mimi siyo mzoefu wa mambo ya kesi wala ata sijui maswala ya sheria naombeni msaada wenu wa A B C kumuambia ili aweze kushinda kesi yake na kupata haki yake.

Kwasababu pale mahakamani ana ata shahidi yupo yeye tu na hao matapeli wanaonekana wazoefu kwenye kesi msaada wenu jamani afanye kitu gani asije kunjichanganya akakosa haki yake

Nitashukuru Sana mkinisaidia sitakuwa na chakuwalipa Mungu atawalipa.

Asanteni sana.
Hayo medini feki yapo ??kama kielelezo. Ma je huyo aliyekuwa anatapeliwa Siku hiyo yupo ??unasemaje shahidi hakuna wakati aliwakuta wakimtapeli mtu. Ukitaka ushauri wakisheria uwe mkweli. Usije kushtakiwa wewe kwa kuwaitia watu wezi nakuhatarisha maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amajanielewa siku anamkamata aliwakuta wapo na madini fake wakiwa kwenye harakati za kumtapeli mtu mwingine na yale madini walipelekwa na nayo paka polisi siyo siku walikamatwa wakimtapeli mtu mwingine
Hayo medini feki yapo ??kama kielelezo. Ma je huyo aliyekuwa anatapeliwa Siku hiyo yupo ??unasemaje shahidi hakuna wakati aliwakuta wakimtapeli mtu. Ukitaka ushauri wakisheria uwe mkweli. Usije kushtakiwa wewe kwa kuwaitia watu wezi nakuhatarisha maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! hawa matapeli ni njoko, nisha shuhudia mara 4 watu waliotapeliwa wakilia kwa uchungu. Ndani ya huu mwezi walimtapeli mama moja Tsh 2000,000 na point, yule mama alilia sana!

5/5
Nilitapeliwa 500K.. Nilimpa jamaaa angu akiniomba anashda ya fasta,nmkopeshe 500K alaf jion atanirudshia.....nkamwambia buznec gan wewe wafanya akasema ntakujuza jion, nkaona isiwe tabu nkampa...sasa ,jion kufika nackia jamaaa yuko Hosp...aliiishiwa nguvu akaaanguka stend mwenge...kumbe Aliwapa had macbook pro computer mbili,na helq 2.2M ukijumlsha na yangu.... Nikaenda nkamkuta macho mekundu..TMJ pale...nkasaidia kuclear bill...nkamsamehe.....TOKEA SIKU IYO SIWEZ MKOPESHA MTU,MPK ANIAMBIE SHIDA YENYEWE...MAANA cjui hawa matapeli wanatumia akili gan
 
Back
Top Bottom