Hii akikaa vizuri atatoboa mapema tuuWakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake
Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
Masoko mengi yameshikwa na madalali huwezi kuingiza tu sokoni ukapata wateja lazma ukajichanganye sokoni kwanza ujue system ya pale.... mfano soko zote zilizo tajwa hapo ni masoko mazuri sema wengi wao wana taka mali kauli yani ufike uwape mzigo baada ya siku kadhaa ndipo uwekewe pesa kwenye acount je? Wew umejipanga vipi ......Wakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake
Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
Masoko mengi yameshikwa na madalali huwezi kuingiza tu sokoni ukapata wateja lazma ukajichanganye sokoni kwanza ujue system ya pale.... mfano soko zote zilizo tajwa hapo ni masoko mazuri sema wengi wao wana taka mali kauli yani ufike uwape mzigo baada ya siku kadhaa ndipo uwekewe pesa kwenye acount je? Wew umejipanga vipi ......
Kiongozi kama hutojali gharama ya kujaza fuso ya viazi huwa inafika kiasi gani kulingana na misimu?Wakuu salaam
Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma
Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au amewahi kufanya hii biashara atoe uzoefu wake
Hasa kwenye mambo ya soko kwenye kununua na kuuza
Biashara ya viazi ni ngumu sana kwasababu kwanza inategemea na soko la siku hiyo pili usharp wa dalali wako na tatu ubora wa mzigo wako. Kitu cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kwenda sokoni na kumpata dalali mwaminifu kitu cha pili nihuyo dalali kukupatia contact za wahusika kule viazi vinakotoka, hawa jamaa kule njombe ni waaminifu sana sijasikia hata siku moja wakimtapeli, ukitapeliwa ujue huyo siyo mfanya biashara wa viazi. kwa mara ya kwanza itabidi usafiri ili ufahamiane na mtu atakaye kufungia mzigo mnapatana naye gharama yakukufikishia mzigo mpaka kwenye gari, inamaana hapi yeye atasimamia, gharama za magunia, wachimbaji, wabebaji mpaka kwenye gari, pia huwa wanajuana na madalali wa magari kwahiyo hao hao wanakutafutia gari, pia inabidi ujue ujazo kutokana na sehemu unayopeleka mzigo wako la sivyo unaweza ukala hasara. Pua ujue gari unalochukua linabeba viroba vingapi na uhakikishe unakwenda kwenye mizani ya kulipia kuhakiki mzigo wako kwani mzigo ukizidi fine inakuwa yako wenye magari hawakubali kulipa fine.Wakuu salaam