naomba maoni yenu wadau

naomba maoni yenu wadau

bryshilar

Member
Joined
May 31, 2014
Posts
10
Reaction score
2
Upo katika hiyo nafasi na unatakiwa umuokoe mtu
mmoja tu kati ya Mama Yako Mzazi, Mke wako
kipenzi au Mwanao wa kiume wa pekee.
 

Attachments

  • 1401721005552.jpg
    1401721005552.jpg
    20.2 KB · Views: 41
Mother,. Children and Wife I Can Find Another One But Not My Mother!!
 
Wai, Nyamunge na kijana wangu Malima waki r.i.p naweza kumfata mama yeyoo nyingine nikaweka ndani, by the way withing michepuko huwezi kosa mmoja ila mama Kitu kingine acha kabisa!
 
Bora na mimi nijitose kila mmoja ana umuhimu kwangu
 
Back
Top Bottom