naomba maoni yako kuhusu hili...

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Soma hii na ujiulize mara nyingi
uwezavyo!!!ni kwanini kipindi
hichi cha uongozi wa muheshimiwa
mambo ya ajali yamezidi kutokea
tofauti na vipindi vyote vya
uongozi wa maraisi waliopita????? Kwa mimi maoni yangu ni kua
katika uongozi huu mambo
huchukuliwa kiurahisi zaidi na
utawala kuonekana kama hauna
nguvu katika ufwatiliaji
mambo.......
 
Back
Top Bottom