Naomba makadirio ya vifaa hivi katika ujenzi wa chumba na sebule kwa Dar es Salaam

notyfeky

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
673
663
Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k.

Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima.
 
Umesema kiwanja kipo kwenye kimlima.

Ushauri tafuta fundi ujenzi jirani na wewe ulipo kisha aje kwenye kiwanja hapo akupe hesabu
 
Umesema kiwanja kipo kwenye kimlima.

Ushauri tafuta fundi ujenzi jirani na wewe ulipo kisha aje kwenye kiwanja hapo akupe hesabu
Sawa, shukrani mkuu kwa ushauri.
Japo najua mafundi pia wamo humu jukwaani, ingesaidia pia kupata abc's
 
Naomba msaada wa makadirio kama vile idadi ya tofali, simenti ya kujengea, idadi ya nondo kufungia msingi na lenta, kokoto msingi na lenta, n.k.

Kiwanja kiko kwenye muinuko, kimlima.
Chumba kimoja ni 2mx2m au?
 
Back
Top Bottom