Naomba majibu yenu wana jamii.

Naomba majibu yenu wana jamii.

LUMBAKALA

Senior Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
148
Reaction score
20
Ndugu wapendwa,naombeni majibu yenu ya kina.Kuna rafiki yangu swahiba amenishangaza mno.Huyu rafiki yangu amekutana na mke wangu msibani akanipigia simu akinijulisha habari za msiba na hatimaye akaniambia shemeji huyu hapa yaani mke wangu eti niongee nae jamaa aliniboa sana na kunifanya nisimuamini tena kama rafiki, nikiamini lazima wana uhusiano wa kimapenzi na mke wangu.Mke wangu nimemnunulia simu iweje rafiki yangu anipigie simu,mazoea na mke wangu yanatoka wapi? NAOMBENI MAJIBU YENU TAFADHALI.
 
mi nadhani majibu mazuri na ya uhakika anayo mkeo.
Ongea nae vzr utajua.
 
kha!! Ndio wivu umefkia hapa!!?
 
mwanamke anae jitambua ni lazima ajiheshimu pia...hapo mimi naona mwanamke ndo ana makosa...mazoea yasizdi sana
 
its a matter of time we subiri utaona mwisho utavyokua coz hawatajificha mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom