Naomba kujua mafuta mazuri ya kurudisha ngozi

Hahhaha dear naona boutour sijui ipoje sasa hivi yaani inanikataa kabisa nilimuona dada mmoja kapaka kennite za director Joan yaani imempendeza sana
Director naona wengi wanasifia vipodozi vyake, na anashauri pia vizuri sana kuhusu ngozi

Mi next week ntamsaka nicheki vipodozi vyake
La vista vipi ya Resty cosmetics?
 
Mimi kama mdau wa masuala ya urembo ningependa kujua ngozi yako ni kavu ama ya mafuta?

Kutokana na maelezo yako nime-notice wewe si mweupe ila una rangi mbili sehemu za mwili ambazo ziko covered ni nyeupe na usoni ni mweusi kama alivyo Magufuli sivyo? Kama jibu ni ndio solution ni rahisi sana na utabakiwa na rangi moja.
Kwa hiyo Magu ana rangi mbili??.Watu mnajua kuongea mafumbo wacha kabisa.
 
Habari wadau

Me kiasili Nina ngozi nyeupe lakini hiv karibuni ngozi yangu ya usoni imeanza kupotea hiv imekuwa Kama maji ya kunde hiv wakati kwingine kote imebaki kuwa ngozi yangu nyeupe so naombeni msaada Ni mafuta gani nitumie kwa usoni nirudishe ngozi yangu nyeupe?
Tafuta serum yye ya vitamin c. Uchanganye kweny lotion unayotumia
 
Tafuta serum yye ya vitamin c. Uchanganye kweny lotion unayotumia
Lovelovie Hiyo serum ni nini? Ni mafuta au nini? Kuhusu nichanganye na lotion nayotumia binafsi sina lotion na wala sipakagi mafuta kabisa na sikumbuki mara ya mwisho kupaka mafuta ilikuwa mwaka gani ila sio mbaya kama ukinishauri nitumie lotion gani Nzuri?
 
Back
Top Bottom