Naomba maelekezo ya jinsi ya Kujiunga JKT kwa mujibu wa Sheria

Msukuma 94

Senior Member
Apr 21, 2017
133
91
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa form six 2015 na niliandika barua ya kuahiriasha mafunzo ya JKT.... napenda mnaojua mnisaidie kujua utaratibu wa kujiunga na JKT mujibu wa sheria mwaka huu.
 
Back
Top Bottom