postgreSQL
Member
- Aug 2, 2019
- 11
- 4
naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.
Google it!naomba darasa kidogo maaana ya maneno haya . policy, law, regulation, and guidelines na itakua vema kama ntapata na vyanzo vyake. ikiwa kwa kingereza itakua vyema zaidi.
Good answer. Siku hizi karibu kila kitu kipo Google japo nako sometimes inabidi akili za kuambiwa uchanganye na zako [emoji16][emoji16]Google it!
Hayo maneno yapo Google mpaka na etymology zake na matumizi mbalimbali ikiwemo kwenye sheria. Sema tu unataka kutafuniwa kamanda. It is OK [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]mnadhan kila kitu kipo google ?