Naomba link ya ule uzi unaozungumzia jinsi ya kupata namba za simu zilizopotea wa FB

Asante kwa uzi huu, nimempata mtu niliyepotezana naye miaka 10 iliyopita. Nilimtafuta kwa njia zote bila mafanikio sasa nimempata
 
Tecno imefuta namba zangu za simu almost zote kwenye sim card,zimebaki 15 out of 200+ ,wale jamaa wanaozitukana Tecno huwa wapo sahihi
Hizo cm wakati unanunua ziko vizuri kila idara, kaa nayo kwa miezi 4-6 utaona kila kitu kinaanza kuwa hafifu, kamera utaona kwa mbali ina km ukungu au moshi hivi. Memory inaanza kufuta picha moja baada ya nyingine, majina kwenye line inafutwa moja baada ya nyingine nk. Simu ni iphone km wallet yako iko vizuri, Samsung na Xiaomi
 
Kweli kabisa Mkuu,mfano, iphone 5 mpaka mwaka jana ilikuwa na uwezo mkubwa kuliko TECNo za 2022,kuanzia camera mpaka performance.
 
Back
Top Bottom