"Naomba likizo"

"Naomba likizo"

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Mwalimu aliingia darasani na akaanza kufundisha ubaoni. Katikati ya pindi si akajamba! Wanafunzi wacha wacheke we! Mpaka akaona aibu akaomba likizo miezi 3. Aliporudi,
Mwalimu: wanafunzi tuliishia wapi?
Wote: ULIPOJAMBA!
 
teh teh! hii kali, kweli watoto noma!!!!!!!!!!!
 
Kama mi mwalimu naomba kubadilishiwa darasa au naacha kazi!
 
kama ni mimi naita huyo mtoto namtia viboko kwishna, wengine wote hawasemi tena, ubabe ubabe
 
Duh.. Sina mbavu! Huwenda hiyo shule ni ya watoto waliotoka ktk mazingira magumu hao ni balaa hawajuwi kitu staha wala adabu hasa siku za mwanzo darasani. Unaweza kususa kazi hivihivi.
 
duhhhh nilikuwa napita tu lakini imeni-cost mbavu zangu
 
uwiiii! Hahahahahaha...my ribs! Dah,ticha noma bana! Si bora ungetoka nje kdg! Au kilimponyoka! Teh teh
 
Mwalimu aliingia darasani na akaanza kufundisha ubaoni. Katikati ya pindi si akajamba! Wanafunzi wacha wacheke we! Mpaka akaona aibu akaomba likizo miezi 3. Aliporudi,
Mwalimu: wanafunzi tuliishia wapi?
Wote: ULIPOJAMBA!

dahh kwa hapa sina la kusema
 
Hao wanafunzi lazima wafaulu mitihani kwani wana kumbukumbu nzuri.
 
Aisii hii kali sana. Kama ni mimi naomba uhamisho kwani kwa watoto hata ukitumia ubabe hawawezi kusahau mpaka wanamaliza darasa la saba.
 
Back
Top Bottom