Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

Juliana Shonza, umebaki kulalama tu sasa hivi,ulipewa nafasi ya kufanya mambo yako ya kisiasa ndani ya chadema lakini njaa ikakuponza......Nakushauri unyamaze na uombe msamaha urudi chadema
 
ulipojuinga humu jamvini uliingia kwa ajili ya CHADEMA na nakupongeza kwa sababu hujawahi kuacha kufanya kazi ulizoelekezwa na mkuu wako MWIGULU NCHEMBA ila pia nakuona kama jinamizi la CHADEMA bado linakusumbua maana ukiasi mzazi aliyekunyonyesha bila sababu ili mradi umependezwa na penzi la fedha huwezi kuwa salama na ndoa yako
leo ulichokosea sana ni kutotaka CHADEMA iwaachie mamluki eti kwa sababu wana nafasi fulani unasahau kuwa ukweli hauangalii nafasi ndio maana ukamuumbua hata mtu wako wa sirini ZZK na
2 nashangaa wewe kuendelea kuamini kuwa KIMESERA NA MTEI tu ndio wanaweza kuwa wazee ndani ya Chadema
3 Uliondoka CHADEMA ukisema HECHE NI DIKTETA na Kibaraka wa wakubwa leo unakubali kuwa anadeligate power na kumpa mtu majukumu hii umempa sifa kubwa ya kiuongozi
NAKUSHAURI nasikia uliolewa? kaa utulie upate mtoto ulee watoto kwa sababu kwenye siasa maswala yako yalishafungwa mume akikukataa unajua kina MWIGULU walivyokuwa wanakunyima haki ya kushuhudia ujana wako pole sana
CHADEMA LAZIMA WAINGIE IKULU HILO NI KWELI
Sio kosa lako.,ni ufahamu wako, ndipo uwezo wako ulipoishia...!!!
 
CHADEMA hutakaa uisahau maishani kwako, unakunywa maji unaiona kwenye GLASS, hulali ila UNAIOTA. Pole sana Juliana Shonza, mbaya zaidi CDM imeshakudelete ila wewe umeshindwa KUI-DELETE.

Kila kukicha unahangaika nayo tu - aisee mapenzi mabaya sana!! Yanauma mno hasa uliyempenda akikupiga DOWN.
 
“...sisi wakristo tunajua kuwa Mussa alianzisha safari ya waisrael kwenda Kanaani, ila hakuwafikisha. Kina Mtei (edwin), Kimesera (Victor), Bob Makani na wengineo walianzisha safari ya kwenda Ikulu, ila hawakutufikisha. Mbowe ni sawa na Joshua atakayetufikisha Ikulu..”

Maneno hayo kwenye aya niliyoinukuu hapo juu si yangu bali ni ya EmmanuelMasonga Mwenyekiti wa BAVICHA kutoka wilaya ya njombe akimsifu Mbowe mbele ya Wazee wanaojiita “..wazee wa CHADEMA..” jijini Dar essalaam.

Labda niseme ni kujitia Upofu, labda niseme Mapenzi yaliyopitiliza na wakati mwingine napata dhana kuwa ni UMBUMBUMBU, na si kingine chochote kinachowafanya Vijana wa BAVICHA kutojitathimini,kutojiuliza na kutofikiri sawasawa kabla ya kutoa kauli, hasa kauli hiyo ikitolewa kwenye kongamano la watu.

Yapo mambo sisi vijana tukiyafanya, yanatudhalilisha, yanatufedhehesha mbele za watu na mbaya zaidi yanatushusha hadhi na kututukanisha.Labda ni kukosa ufahamu lakini nashawishika kuamini ni UJUHA tu ndio unaweza kumfanya kijana ambaye anatokwa na jasho mwili mzima kwa jua kali la mchana na yeye anaaminishwa kuwa huo ni USIKU wa manane wenye baridi kali na anapaswa kujifunika.,nae kama ZUZU akubali aseme NDIOMZEE ni usiku wa giza totoro..

Siamini kuwa BAVICHA wanaamini kuwa CHADEMA yao inaimarika.,siamini hivyo na nina uhakika kuwa hata HECHE haamini hivyo labda ndio maana hajasema yeye kwa niaba ya Vijana, kamtafuta mmoja wa wasiojielewa atoe salamu za bavicha kuwa sasa CHADEMA inaelekea IKULU...vichekesho.

Ni CHADEMA ipi..? hii ambayo inaongozwa kifalme, kibabe na kibedui..? Taasisi ambayo wachache tu ndio wana haki na wengine ni wasindikizaji.? Chadema yenye Mwenyekiti asiye na Makamu, Yenye Katibu Mkuu asiye na Naibu, Yenye Mwenyekiti wa Vijana asiye naMakamu..? au Chadema ipi..? waswahili wanasema kinywa chenye mapengo hakitafuni muwa.

Hivi IKULU ni Kariakoo sokoni, kuwa hata kwa daladala au boda boda utafika..? nadhani wanaojiaminisha kuwa CHADEMA ambayo viongozi wake wanajiuzulu mpaka vyombo vya habari vinapata ukakasi kuripoti matukio hayo ya kujiuzulu eti ni Chadema inayoelekea IKULU..chadema ambayo ilidharau wapinzani wengine na kuwakataa leo wamerudi kuwapigia magoti waungane nao na kuwaomba msamaha kwa kauli walizozitoa mwanzo za “ hakuna ndoa ya wanaume wengi” eti ndio CHADEMA imara inayojiandaa kwenda Ikulu..?

CHADEMA yenye wazee kutoka kigoma waliotembea kuja kumchukulia Fomu MBOWE,ambao sio kina MTEI, sio KIMESERA bali ATHUMAN MZIGO al-maarufu“..MAPINDO SABA..” hajulikani kokote kwenye siasa za Tanzania, mganga njaa ambae eti leo thamani yake ni kubwa kuliko waasisi ambao bado wako hai akina MTEI..,eti yeye ndio aamue nani anafaa kuendesha Chama hicho...off all people MAPINDO SABA..??? kweli chadema kweli..,mapindo saba ndio awe muamuzi wa chadema inayoelekea IKULU..seriously..???

Ikiwa MAPINDO SABA ndio Mzee wa CHADEMA leo na MASONGA ndio kijana wa CHADEMA leo basi yatosha kusema kuwa CHADEMA ya leo iko tayari kuelekea kuzimu sio Ikulu...

Naomba kuwasaidia Vijana wa BAVICHA Kufikiri
.

juliana shonza elimu yako ya degree moja acha ujinga huna uwezo wa kuwashauri watu
 
Ya uchaguzi yakimalizika sijui mtakuja na singo gani....
Ila kwa kifupi hapo hamna ushauri ulioutoa zaidi ya mipasho,na cha zaidi hakuna anayehitaji ushauri kutoka kwa mtu kama wewe.
 
Ni kama mtu akiachwa na bwana,anaanza tangaza mbovu ila starehe alizopata hazungumzii.umeishiwa mpaka unatia aibu July.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Nasema hata wakishinda viti kumi vya ubunge..,mimi najiuzulu siasa...!!!

Uliponiacha hoi ni pale uliposema wewe ni mzalendo. Nachelea kusema hujui maana ya uzalendo bi wa kufyonza. Tangu lini mchumia tumbo kama wewe akawa mzalendo? Tangu Lini mzalendo wa kweli akawa CCM ya leo?. Au ndiyo ule uzalendo wa kihuni kama wa mzee Sitta ambapo anashirkiana na wahuni wengine wa CCM kunajisi rasimu ya pili ya katiba? Pole sana kwa kujitoa ufahamu bi wa kufyonza.
 
Ukizingatia umeanza kwa kujitambulisha kama mkristo .basi zingatia kauli hii .ya Yesu Kristo huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja au basi Mshika mawili moja umponyoka .au tena mtaka yote hukosa yote .maadamu hupo kwenye genge la mafisadi kwa sasa zingatia huko kujua nijinsi gani mtaendelea kufisadi vizuri zaidi kuliko ilivyo sasa .achana na Chadema jali ya Ccm yako .hii ni kwa ushauri tuu .,Napita zangu
 
Nimekudharau sana wee ghamba ka mwanamke anayekatiza stand hajavaa kocho. Maneno haya ndio kaburi la Mbaruk. Haiwezekani upigiwe debe na act na ccm alafu utuombe kura. Sisi ndio wapiga kura tutamtia adabu. Hatujali chochote tena hata tabora huna chadema sababu ya uongozi wake mbovu.

Ila ninachofurahi mbowe hajamtukana ila yeye anatukana mitandaoni na redioni. Sasa moja ya swali ataujibu mkutano mkuu ni nani anampa ujasir wa kutukana? umelipwa shs ngapi kuchafua chama magazetini? Je unataka uongoz wa juu chadema kupambana na mbowe au kutumikia chama maana umekuja na style ya kumchafua? Bank statement yake ataikuta mezani kisha ataeleza hizo pesa zilikuwa za kazi gani.

Chezea chadema wewe!! aaaah aaaaah
 
“...sisi wakristo tunajua kuwa Mussa alianzisha safari ya waisrael kwenda Kanaani, ila hakuwafikisha. Kina Mtei (edwin), Kimesera (Victor), Bob Makani na wengineo walianzisha safari ya kwenda Ikulu, ila hawakutufikisha. Mbowe ni sawa na Joshua atakayetufikisha Ikulu..”

Maneno hayo kwenye aya niliyoinukuu hapo juu si yangu bali ni ya EmmanuelMasonga Mwenyekiti wa BAVICHA kutoka wilaya ya njombe akimsifu Mbowe mbele ya Wazee wanaojiita “..wazee wa CHADEMA..” jijini Dar essalaam.

Labda niseme ni kujitia Upofu, labda niseme Mapenzi yaliyopitiliza na wakati mwingine napata dhana kuwa ni UMBUMBUMBU, na si kingine chochote kinachowafanya Vijana wa BAVICHA kutojitathimini,kutojiuliza na kutofikiri sawasawa kabla ya kutoa kauli, hasa kauli hiyo ikitolewa kwenye kongamano la watu.

Yapo mambo sisi vijana tukiyafanya, yanatudhalilisha, yanatufedhehesha mbele za watu na mbaya zaidi yanatushusha hadhi na kututukanisha.Labda ni kukosa ufahamu lakini nashawishika kuamini ni UJUHA tu ndio unaweza kumfanya kijana ambaye anatokwa na jasho mwili mzima kwa jua kali la mchana na yeye anaaminishwa kuwa huo ni USIKU wa manane wenye baridi kali na anapaswa kujifunika.,nae kama ZUZU akubali aseme NDIOMZEE ni usiku wa giza totoro..

Siamini kuwa BAVICHA wanaamini kuwa CHADEMA yao inaimarika.,siamini hivyo na nina uhakika kuwa hata HECHE haamini hivyo labda ndio maana hajasema yeye kwa niaba ya Vijana, kamtafuta mmoja wa wasiojielewa atoe salamu za bavicha kuwa sasa CHADEMA inaelekea IKULU...vichekesho.

Ni CHADEMA ipi..? hii ambayo inaongozwa kifalme, kibabe na kibedui..? Taasisi ambayo wachache tu ndio wana haki na wengine ni wasindikizaji.? Chadema yenye Mwenyekiti asiye na Makamu, Yenye Katibu Mkuu asiye na Naibu, Yenye Mwenyekiti wa Vijana asiye naMakamu..? au Chadema ipi..? waswahili wanasema kinywa chenye mapengo hakitafuni muwa.

Hivi IKULU ni Kariakoo sokoni, kuwa hata kwa daladala au boda boda utafika..? nadhani wanaojiaminisha kuwa CHADEMA ambayo viongozi wake wanajiuzulu mpaka vyombo vya habari vinapata ukakasi kuripoti matukio hayo ya kujiuzulu eti ni Chadema inayoelekea IKULU..chadema ambayo ilidharau wapinzani wengine na kuwakataa leo wamerudi kuwapigia magoti waungane nao na kuwaomba msamaha kwa kauli walizozitoa mwanzo za “ hakuna ndoa ya wanaume wengi” eti ndio CHADEMA imara inayojiandaa kwenda Ikulu..?

CHADEMA yenye wazee kutoka kigoma waliotembea kuja kumchukulia Fomu MBOWE,ambao sio kina MTEI, sio KIMESERA bali ATHUMAN MZIGO al-maarufu“..MAPINDO SABA..” hajulikani kokote kwenye siasa za Tanzania, mganga njaa ambae eti leo thamani yake ni kubwa kuliko waasisi ambao bado wako hai akina MTEI..,eti yeye ndio aamue nani anafaa kuendesha Chama hicho...off all people MAPINDO SABA..??? kweli chadema kweli..,mapindo saba ndio awe muamuzi wa chadema inayoelekea IKULU..seriously..???

Ikiwa MAPINDO SABA ndio Mzee wa CHADEMA leo na MASONGA ndio kijana wa CHADEMA leo basi yatosha kusema kuwa CHADEMA ya leo iko tayari kuelekea kuzimu sio Ikulu...

Naomba kuwasaidia Vijana wa BAVICHA Kufikiri
.
Mbona chadema,chadema..... tu and not TLP,UDP,CHAUSTA etc ?.
 
"...sisi wakristo tunajua kuwa Mussa alianzisha safari ya waisrael kwenda Kanaani, ila hakuwafikisha. Kina Mtei (edwin), Kimesera (Victor), Bob Makani na wengineo walianzisha safari ya kwenda Ikulu, ila hawakutufikisha. Mbowe ni sawa na Joshua atakayetufikisha Ikulu.."

Maneno hayo kwenye aya niliyoinukuu hapo juu si yangu bali ni ya EmmanuelMasonga Mwenyekiti wa BAVICHA kutoka wilaya ya njombe akimsifu Mbowe mbele ya Wazee wanaojiita "..wazee wa CHADEMA.." jijini Dar essalaam.

Labda niseme ni kujitia Upofu, labda niseme Mapenzi yaliyopitiliza na wakati mwingine napata dhana kuwa ni UMBUMBUMBU, na si kingine chochote kinachowafanya Vijana wa BAVICHA kutojitathimini,kutojiuliza na kutofikiri sawasawa kabla ya kutoa kauli, hasa kauli hiyo ikitolewa kwenye kongamano la watu.

Yapo mambo sisi vijana tukiyafanya, yanatudhalilisha, yanatufedhehesha mbele za watu na mbaya zaidi yanatushusha hadhi na kututukanisha.Labda ni kukosa ufahamu lakini nashawishika kuamini ni UJUHA tu ndio unaweza kumfanya kijana ambaye anatokwa na jasho mwili mzima kwa jua kali la mchana na yeye anaaminishwa kuwa huo ni USIKU wa manane wenye baridi kali na anapaswa kujifunika.,nae kama ZUZU akubali aseme NDIOMZEE ni usiku wa giza totoro..

Siamini kuwa BAVICHA wanaamini kuwa CHADEMA yao inaimarika.,siamini hivyo na nina uhakika kuwa hata HECHE haamini hivyo labda ndio maana hajasema yeye kwa niaba ya Vijana, kamtafuta mmoja wa wasiojielewa atoe salamu za bavicha kuwa sasa CHADEMA inaelekea IKULU...vichekesho.

Ni CHADEMA ipi..? hii ambayo inaongozwa kifalme, kibabe na kibedui..? Taasisi ambayo wachache tu ndio wana haki na wengine ni wasindikizaji.? Chadema yenye Mwenyekiti asiye na Makamu, Yenye Katibu Mkuu asiye na Naibu, Yenye Mwenyekiti wa Vijana asiye naMakamu..? au Chadema ipi..? waswahili wanasema kinywa chenye mapengo hakitafuni muwa.

Hivi IKULU ni Kariakoo sokoni, kuwa hata kwa daladala au boda boda utafika..? nadhani wanaojiaminisha kuwa CHADEMA ambayo viongozi wake wanajiuzulu mpaka vyombo vya habari vinapata ukakasi kuripoti matukio hayo ya kujiuzulu eti ni Chadema inayoelekea IKULU..chadema ambayo ilidharau wapinzani wengine na kuwakataa leo wamerudi kuwapigia magoti waungane nao na kuwaomba msamaha kwa kauli walizozitoa mwanzo za " hakuna ndoa ya wanaume wengi" eti ndio CHADEMA imara inayojiandaa kwenda Ikulu..?

CHADEMA yenye wazee kutoka kigoma waliotembea kuja kumchukulia Fomu MBOWE,ambao sio kina MTEI, sio KIMESERA bali ATHUMAN MZIGO al-maarufu"..MAPINDO SABA.." hajulikani kokote kwenye siasa za Tanzania, mganga njaa ambae eti leo thamani yake ni kubwa kuliko waasisi ambao bado wako hai akina MTEI..,eti yeye ndio aamue nani anafaa kuendesha Chama hicho...off all people MAPINDO SABA..??? kweli chadema kweli..,mapindo saba ndio awe muamuzi wa chadema inayoelekea IKULU..seriously..???

Ikiwa MAPINDO SABA ndio Mzee wa CHADEMA leo na MASONGA ndio kijana wa CHADEMA leo basi yatosha kusema kuwa CHADEMA ya leo iko tayari kuelekea kuzimu sio Ikulu...

Naomba kuwasaidia Vijana wa BAVICHA Kufikiri
.
Vile namfahama Emmanuel Masonga angekuwa ni kichaa kama Juliana Shonza angeweza kumuomba uchi ili atulie mana Shonza ukimtia tuu huwezi ona akikuponda katika mtandao hata siku moja sasa kijana Masonga mseminari hawezi ingia katika mtego wa kukutumliza kwa kukutimizia haja zako za kimapenzi huo utaratibu wanao huko uliko CCM. BAVICHA INAJITAMBUA VEMA SANA NA MASONGA ALIZUNGUMZA KWA NIABA YA VIJANA WA BAVICHA BAADA YA KUTKA MAONI YA SIS VIJANA JUU YA KUMTAKA MBOWE AWE KIONGOZ NDANI YA CHAMA CHETU. POLE SANA SHONZA KWANI HUJUI MASONGA KATOKA WAPI NA HUJUI NINI ANAKIFANYA HIVYO HUNA UHALALI WA KUKOSOA KWANI WEWE NI MMOJA YA WASALITI WA HARAKATI ZA UKOMBOZI BAADA YA KUPEWA MIMBA NA MWIGULU. MASONGA NIKUSHAURI ACHANA NA HUYU MPUUUZI WA DANGULO LA LUMUMBA PIGA KAZI ZA KUWAKOMBOA WATANZANIA
 
Back
Top Bottom