donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Out of curiosity, ningependa kuwafahamu membaz kumi wa mwanzo wa Jf. Hawa ni ma legends, though labda ma admins ni rafiki zao, but ningependa kujua the first time Jf was online, watu kumi wa mwanzo ku-sign up