Udikteta hauwezi kukuza uchumi hata dakika moja!
na watoto watakaokuwa below 18 nao utawatengenezea maadui?
Umeshajiuliza global response kwa kiongozi asiyeheshimu mkataba wa kimataifa wa haki za watoto?
huo uchumi unataka kuukuza kwa kufanya biashara na nani? maana udikteta wako utazaa sanctions tu kwa Tanzania. Open your eyes!!!
wewe ulisoma shule gani? na je ktk somo la historia ulipas au ulifeli ,nakukumbusha tu kwa faida yako mpaka sasa hivi kuna nchi zinaendeshwa kidikteta na uchumi wao unapaa mfano ni china au hapo afrika ni libya wewe uko dunia gani?
Sanctions hujazungumzia DIKTETA, Libya si umeona kilichowakuta? Utaweza vipi kuendesha uchumi kwenye sanctions?
Mbona hujatoa mfano wa Pakistan au Guinea?
China!!! Usisome figure tu ukidanganyika kuwa China mambo safi!! Au unadanganyika na maghorofa??? China watu wanasota kuliko Bongo. Wewe upeo wako huwezi kuachiwa hata duka uuze!
Watanzania Wengi Ni Marehemu Na Wanahitaji Mapinduzi Ya Kifikra Ya Hali Ya Juu Na Pia Wengi Hawajui Maana Ya Kuwa Mtanzania Yaani Hawajui Haki Yao Ya Kuwa Watanzania
Kuhitaji mapinduzi ya kifrikra hakumfanyi mtu kuwa marehemu. Watanzania sio marehemu, ila ni binadamu wenye utashi kama binadamu wengine wote duniani. Tatizo ni bahati mbaya ya kuongozwa na viongozi mafisadi. Kama unavyojua historia ya nchi yetu dhidi ya ukoloni, basi ilipaswa kupata viongozi makini ili kuweza kuiendeleza nchi baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni.
Tupe sera nzuri na sio kutuita marehemu.
Tra Wote Mishahara Juu Kwa Kuwa Hawa Ni Watu Muhimu Basi Angalau Mshahara Wa Chini Ni1.5 Mil Ili Kuwaepusha Na Vishawishi
Hili ni bonge la porojo
Major,
Najua hasira za mitima yetu zitaendelea kututawala siku zote, hii tu ni kwa sababu tu tunataka kukwepa lawama za watoto wetu siku za usoni, watoto wetu watatushangaa sana na pia watatuona kama tulikuwa wazembe wa kufikiri, haiwezekani kabisa mijitu michache ijinufaishe na mitoto yao , huko watoot wetu wakikosa elimu, magonjwa yakiwaangamiza.
Major. Najua na wewe waweza kuwa ni moja ya wazalendo kama mimi, nakuhahidi ndugu yangu, hapa kijijini kwangu nina ng'ombe 17 na wote nitawauza ili na wewe upate kupita huku na kule ukiuza sera zako, unasemaje kwa hilo?