Naomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania

nisingeteua mbunge yeyote tena utaratibu wa kuchagua wabunge ungekuwa kama wa big brother africa bba yaani unachaguliwa kwa mapendekezo ya wananchi tu sitaki unafiki wala sitaki mbunge auze au kuweka rehani nyumba yake kwa ajili ya kuhonga wanachama ili wamchague wakati anajua kabisa hata akiwa mbunge mshahara hautamtosha kununua nyumba kama ya zamani,maajabu haya ndugu wananchi

Ukimaliza sera zako utupe na wasifu wako. Then utupe na picha yako. Kuna watu wanasema umewahi kuonekana Mirembe kule Dodoma. Sasa sijui walikuona kama Daktari au mgonjwa. Ukiweka picha itasaidia kidogo.
 
Nitahakikisha shughuli yoyote ya kibiashara ndani ya nchi yangu ambayo wananchi wangu wana uwezo wa kuifanya haitafanywa na mgeni yeyote nikiwa na imani kwamba kama itafanywa na wananchi pesa yake itabaki nyumbani tanzania kwa maendeleo ya watanzania na baada ya mwaka mmoja tu wana jf mngeshuhudia wananchi wangu watavyojivuna nina imani kwa kufanya hivi nitajenga nchi kwa ari na kasi mpya ya ukweli
 
Acha porojo wewe
Hii Forums si mahali pa porojo, wewe unataka kuwa dikteta then unatwambia hapa, umeona wapi hiyo?? si heri ungetuma hata PM kwa watu fulani fulani kuwajulisha lengo lango
Sasa wewe mambo yako unayaweka laivu hapa ambapo hata SHY anayaona, unategemea nini?
Fanya mambo ya maana na muhimu kwa ajili ya Taifa lako wacha kuleta porojo kibao

soma kwanza ndiyo uandike bro usiwe unaropoka tu ninaposema udicteta namaanisha kwa viongozi fisadi na siyo kwa wananchi wangu au unataka niseme nitakuwa mwenye furaha kama jk?!
 
Ningefanya kila niwezalo ili niweze kuuza madini yangu yoote ya asili ndani ya tanzania maana kama mnavyojua kila nchi duniani huwa wanauza mali yao ndani ya nchi yao yaani kama wewe ni mteja uwafuate ukanunue kwa pesa ya kigeni kama waarabu wanavyouza mafuta yao japani wanavyouza magari yao china wanavyouza nguo na viatu vyao nk natambua mateso na dhuluma wanayofanyiwa watanzania wanapokwenda kuuza madini nje ya nchi kwa hiyo ningeweka soko kubwa la madini yangu ndani ya nchi yangu na kwa kuwa nachimba mwenyewe na ni mali yangu mwenyewe nina imani bei yangu ingekuwa nzuri na kuwavutia wanunuzi popote pale duniani badala ya sasa hivi kuachia hizi pesa za wageni zikazama mifukoni mwa akina papaa msofe,na hao wanokwenda kuuza nje wanalizwa yaani ili mradi ni vurugu mechi
 
nimesema udikteta wangu si kwa wananchi ni kwa viongozi fisadi na hili nitawaelewesha wananchi mpaka walielewe maana sihitaji kuchekana nyani kama jk mbona huelewi bro.!

Sasa major, ukiwa kama "dikteta" dhidi ya "viongozi fisadi" ungewaadhibu vipi au kuwachukulia hatua gani watu kama Jinga Kubwa, Wadosi Manji, Meghi na Roasted Ass-his, Mramba, Mkapa, Gay Mgonjwa, Low-assman, Kigoda na wengineo wengi?
 
Ukimaliza sera zako utupe na wasifu wako. Then utupe na picha yako. Kuna watu wanasema umewahi kuonekana Mirembe kule Dodoma. Sasa sijui walikuona kama Daktari au mgonjwa. Ukiweka picha itasaidia kidogo.

hata hivyo sikulaumu maana najua kuwa raisi ni vigumu maana kuna upinzani mwingi hata jk asingepita kama asingevunja BOT
 
Kwa mlolongo wa matukio makubwa yaliyowakumba waliotangulia kukalia hicho kiti unachotaka, kabila ni muhimu sana kujulikana mapema ili kuondoa uwezekano wa kuongozwa na mtu anayetoka kwenye kabila ambalo ni halali kushare mwanamke na pia kumpa cheo kikubwa mme mwenza bila kujali kuwa anahujumu familia yako.
 
Sasa major, ukiwa kama "dikteta" dhidi ya "viongozi fisadi" ungewaadhibu vipi au kuwachukulia hatua gani watu kama Jinga Kubwa, Wadosi Manji, Meghi na Roasted Ass-his, Mramba, Mkapa, Gay Mgonjwa, Low-assman, Kigoda na wengineo wengi?

Hawa watu ni hatari na kwanza baada ya kupata ushidi wa kweli kabisa kutoka ktk team yangu na nikadhihirisha ni kweli kabisa wamehusika na kuwaibia wananchi wangu ningefanya mkutano mkubwa pale jangwani baada ya kuwakamata na ningewaua kwa kuwapiga risasi ya kichwa mmoja baada ya mwingine,hiyo haitoshi pia wake zao kwa kuwa watakuwa nao wamehusika kwa njia moja ama nyingine ningesaidiana na waandishi wa habari kupiga picha zao na kutundika ktk mabango nchi nzima zikiwaelezea wananchi kuwa HAWA NDIWO WAUAJI WA NCHI YETU kwa hiyo wangetengwa na jamii matokeo ni kwamba wao na watoto wao wangejinyonga wenyewe maana mtoto wa nyoka ni nyoka, halafu uone kama kuna kiongozi angethubutu kula mlungula!!
 
Kwa mlolongo wa matukio makubwa yaliyowakumba waliotangulia kukalia hicho kiti unachotaka, kabila ni muhimu sana kujulikana mapema ili kuondoa uwezekano wa kuongozwa na mtu anayetoka kwenye kabila ambalo ni halali kushare mwanamke na pia kumpa cheo kikubwa mme mwenza bila kujali kuwa anahujumu familia yako.

Nimesema tena kuwa nitawatumikia wananchi na siyo kabila, mtume muhamad wala yesu kristo wewe sema ni nyanja gani unaona imelegea nikupe sera namna ya kuirekebisha ili wananchi wafaidi bro..
 
Nina imani kuwa kila anayehangaika hapa duniani nia na madhumuni yake ni kuwa na maisha mazuri yeye na familia yake kwa hiyo mshahara ninaoupata marupurupu ya safari pamoja na kiinua mgongo baada ya kustaafu kinanitosha na isitoshe pia baada ya kustaafu bado naendelea kulipwa na kutunzwa mpaka siku ya kufa kwangu sasa nitaacha kuwatumikia wananchi kwa kutaka nini tena? jamani naomba mnichague kuwa pre wenu
 
kuna mambo makuu matatu ambayo najua kuwa kama nitayafanya kwa umakini na uadilifu basi baada ya miaka mitano nchi yangu nitakuwa nachuana kiuchumi na nchi za kiarabu tena zile tu zenye mafuta mengi.jambo la kwanza kabisa ni KILIMO ningefanya harambee ya kilimo kwa nchi nzima ningewatumia wataalamu wangu wa ndani na pia ningeomba misaada ya wataalamu kutoka kwa marafiki zangu wa nje kama marekani, japani, china,thailand na ktk zile nchi zoote ambazo zimeweza kufanikiwa ktk kilimo ili na sisi tuinue kilimo chetu na hatimaye tuweze na sisi kuuza bidhaa zetu za kilimo ktk angalau nchi za kiafrica ambazo zinatutegemea kwa chakula mfano zaire kenya malawi zambia na tuingize pesa za kigeni na hili linawezekana kama ufisadi hakuna
 
Hawa watu ni hatari na kwanza baada ya kupata ushidi wa kweli kabisa kutoka ktk team yangu na nikadhihirisha ni kweli kabisa wamehusika na kuwaibia wananchi wangu ningefanya mkutano mkubwa pale jangwani baada ya kuwakamata na ningewaua kwa kuwapiga risasi ya kichwa mmoja baada ya mwingine,hiyo haitoshi pia wake zao kwa kuwa watakuwa nao wamehusika kwa njia moja ama nyingine ningesaidiana na waandishi wa habari kupiga picha zao na kutundika ktk mabango nchi nzima zikiwaelezea wananchi kuwa HAWA NDIWO WAUAJI WA NCHI YETU kwa hiyo wangetengwa na jamii matokeo ni kwamba wao na watoto wao wangejinyonga wenyewe maana mtoto wa nyoka ni nyoka, halafu uone kama kuna kiongozi angethubutu kula mlungula!!

Ok major. Simply brilliant stuff! But now to the crucial question: what exactly will you do or rather how will you go about to become a "dictator"?
 
BIASHARA kwa uzoefu wangu ktk biashara najua kabisa kuwa kuna nchi nyingi tuu duniani ambazo hazina raslimali yoyote lakini zimeweza kufanikiwa ktk biashara kutokana na sera nzuri pamoja na uaminifu wa viongozi watawala kwa hiyo kwa kuwa natambua kuwa tanzania ina bandari nyingi nafikiri ziko na kwa kuwa tanzania tuna wateja wengi ambao wanategemea bandari zetu basi ningeziboresha kwa kuzipanua ili kuondoa msongamano na pia ningepunguza kodi kwa kiwango kikubwa ili kufanya ushindani na bandari nyingine mfano mombasa na south africa ambazo kwa sababu za ubovu wa usalama wa watumiaji wageni wa bandari hizi hawataki kuzitumia tena kwa hiyo ningetumia mwanya huu kuwateka wateja wengi ndani ya africa na nasema tena ili kuwafawezesha wajasiriamali wangu wainuke na kupaa nisingeruhusu mgeni yeyote kufanya biashara ambayo watu wangu wanaweza kuifanya na huu ungekuwa ni mpango maalum kwa hiyo awe mhindi, mchina, mwarabu, mkongo, mmalawi, msouth africa nk kwa kweli wangenisamehe ila kama wanataka kuwa wawekezaji waje na viwanda ili vijana wangu wapate ajira na pia ujuzi, kwa hili nisingekuwa na utani wala tabasamu
 
Hawa watu ni hatari na kwanza baada ya kupata ushidi wa kweli kabisa kutoka ktk team yangu na nikadhihirisha ni kweli kabisa wamehusika na kuwaibia wananchi wangu ningefanya mkutano mkubwa pale jangwani baada ya kuwakamata na ningewaua kwa kuwapiga risasi ya kichwa mmoja baada ya mwingine,hiyo haitoshi pia wake zao kwa kuwa watakuwa nao wamehusika kwa njia moja ama nyingine ningesaidiana na waandishi wa habari kupiga picha zao na kutundika ktk mabango nchi nzima zikiwaelezea wananchi kuwa HAWA NDIWO WAUAJI WA NCHI YETU kwa hiyo wangetengwa na jamii matokeo ni kwamba wao na watoto wao wangejinyonga wenyewe maana mtoto wa nyoka ni nyoka, halafu uone kama kuna kiongozi angethubutu kula mlungula!!

This is simply the best idea you've come up with so far.

Sasa vipi kuhusu Elimu, Ajira, Uhamiaji (ambao kwa sasa ndio umejaa wageni wezi wakishirikiana na waTZ) na Michezo?
 
Ok major. Simply brilliant stuff! But now to the crucial question: what exactly will you do or rather how will you go about to become a "dictator"?

bro naomba utambue kuwa nchi iliyooza kama hii huwezi kuwa raisi halafu ukaiendesha kilegelege halafu ukategemea itakwenda sawa maana ndani yake kuna viongozi ambao wameshajijengea kuwa walizaliwa ili wawatawale watanzania na ndiyo maana hawaogopi kuiba,so i must be dictator for all of them pls
 
Bado hujajibu swali: huo udikteta ungeupata kivipi? Au ndiyo kwa kuomba ruhusa kama kichwa cha mada hii uliyoanzisha kinavyodokeza?
 
Back
Top Bottom