Naomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania

This is simply the best idea you've come up with so far.

Sasa vipi kuhusu Elimu, Ajira, Uhamiaji (ambao kwa sasa ndio umejaa wageni wezi wakishirikiana na waTZ) na Michezo?

OOH samahani Rich ngoja nimalize kwanza hili suala la uchumi halafu ndiyo tuingie ktk mambo mengine hayo maana nina imani tukiwa na pesa ya kutosha kila kitu kitajiseti tu mbona bila ufisadi mambo yanakwenda vizuri tu
 
Bado hujajibu swali: huo udikteta ungeupata kivipi? Au ndiyo kwa kuomba ruhusa kama kichwa cha mada hii uliyoanzisha kinavyodokeza?

ndiyo maana naomba ruhusa kwa wana JF wakikubali basi ujue imetoka mwanangu
 
OOH samahani Rich ngoja nimalize kwanza hili suala la uchumi halafu ndiyo tuingie ktk mambo mengine hayo maana nina imani tukiwa na pesa ya kutosha kila kitu kitajiseti tu mbona bila ufisadi mambo yanakwenda vizuri tu

Taib taib! endelea mkuu.
 
MALIASILI Mungu alipoumba dunia alimpa kila mtu haki yake hilo nakubali lakini kwa tanzania mungu aliipendelea maana aliamua kuumba nchi kwa madini na kila kitu kilicho na thamani kama maziwa makubwa bahari misitu minene mito mbuga zenye wanyama wa kila aina mpaka wale wasiopotikana sehemu nyingine za dunia hii, mambo haya nayatambua kwa kina kabisa kwa hiyo ningefanya action ambayo ingeishangaza dunia kuhusu MADINI kama nilivyosema ningeweka soko kubwa pengine kuliko masoko yote duniani ya madini kwa maana masoko ya madini yaliyoko duniani ni madalali tu mimi ndiye haswa mwenye mali yangu na mara nyingi tajiri yeyotehuwa anapenda kununua mali eidha kiwandani au kwa tajiri kwa hiyo madini yangu yoote kuanzia almas mpaka gem stone zote, yaani kuanzia yale ya kupima na gram mpaka yale ya kupima na kilo ningeweka soko lake tanzania halafu ningeitangazia dunia kuwa sasa NINAUZA MADINI YANGU NA BEI YANGU NI MZURI halafu watanzania mngeshuhudia utitiri wa wanunuzi mpaka mngechanganyikiwa na baada ya mwaka tu waarabu au hawa wachina wasingetupata kwa uchumi mzuri
 
ndiyo maana naomba ruhusa kwa wana JF wakikubali basi ujue imetoka mwanangu

Hiyo ni kweli kabisa. Lakini uwongo mbaya, u-major cheo kidogo jeshini. Inabidi ubadilishe jina na kujiita "Five Star General" si unajua tena mambo ya "image is everything", au siyo?
 
nakwenda kupumzika kidogo ili kuandaa sera nzuri zaidi wana jf., baadaye
 
Hiyo ni kweli kabisa. Lakini uwongo mbaya, u-major cheo kidogo jeshini. Inabidi ubadilishe jina na kujiita "Five Star General" si unajua tena mambo ya "image is everything", au siyo?

bro acha nikapumzike tutaonana kesho, ila natambua kuwa ninapoomba urais inabidi niwe mpole mpaka nitakapopata kwanza ndiyo nianze kumnyofoa roho fisadi mmoja baada ya mwingine
 
Nyama Hatari,
If I'm not mistaken, this is the longest period at JF you have sustained no ban. Quite impressive to be honest seeing you can conduct yourself in such manner without pushing us to implement one. Or perhaps I could be wrong, as I know you always seem to have an ongoing feud with your antagonistic 'JF twin', sardonically to boot and prodding could re-ignite anytime hence forth!
Whether thru some kind of mutual agreement or be a mere enfeeblement, either way, the abrupt halt of feud goes a long way to give us a sigh of relief and time to deal with other tasks on the forum. We believe it’ll be maintained. Have a good day !

Pain Killer,

I appreciate your positive feedback and tolerance as far as my "conduct" goes (at least so far).

You guys must really be doing your homework as far as keeping a watchful eye on rabble rouser types like yours truly.

That said, I really had no choice but to learn the hard way and teach myself the art of conducting myself like a civilized animal (if ever there was one). You have a good day too, Sir!
 
Mheshimiwa Dikteta mtarajiwa; nimefurahishwa na uamuzi wako wa kutuambia wewe unataka kuwa kiongozi wa aina gani kwani angalau tukikubali hatutashangaa ukishika bunduki na kuwalipua mafisadi kwani umeshasema.

Hata hivyo ili uweze kutawala vizuri ni lazima uwe na mkakati wa kuwashughulikia wapinzani wako na wale wote ambao watakuwa ni kikwazo kwako. Kwanza kabisa ni Mahakama na pili vyombo vya habari. Una mpango gani wa kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vinaandika mambo yako mazuri na hakuna baya linaloripotiwa? Na una mpango gani wa kuhakikisha kuwa wewe ndiye Mahakama ya mwisho.?
 
Dikteta ni viongozi wanaoamini kuwa wao tu ndio wenye fikra sahihi na wengine wote ni idiots,

je unadhani watanzania tunaweza kuhitaji mtu anayetuona ni idiots???
 
Suala la wapinzani au wale wote wanaoweza kuwa kikwazo kwangu, halitakuwa suala gumu kwangu maana ningetumia falsafa ya mandela ya kuwa ADUI YAKO KULA NAE hawa watu nitakuwa nasikiliza hoja zao zile za msingi ningezifanyia kazi na ikiwezekana wengi ningewapa kazi ikiwa naona watanifaa maana najua kuwa wengi wa wapinzani wangu wanasumbuliwa na njaa tu. Kuhusu mambo ya vyombo vya habari sioni haja ya kuwa na wasiwasi navyo maana kwa kuwa nina imani kuwa ndani ya serikali yangu ambayo itakuwa haina chembe ya ufisadi uchumi utakuwa unapaa kwa kasi ya kutisha kwa hiyo nategemea waandishi wote watakuwa wanaandika mambo mazuri ya utawala uliotukuka ila 'ONYO' Wale makanjanja wote hawatakawia kuchezea kitanzi maana sihitaji serikali ya masihara. Kuhusu mahakama kwanza ningewapunguzia mzigo wa kesi zisizo na maana kwa kuwa nisingeruhusu kesi yoyote ya kibaka kufika mahakani ila ningewaamuru polisi wangu waadilifu kuwapa vifungo PAPO KWA PAPO wanapopatikana na hatia nina maana kama kibaka kampora mtu na amekamatwa na raia na kithibiti anacho mkononi basi kuna haja gani ya kumsumbua kwa kumpeleka mahamani ANATAKIWA AHUKUMIWE NA ASKARI ALIYESHUHUDIA KITENDO HICHO.Mahakamani zingekuwa zinakwenda kesi kubwa kubwa tu, na vile vile kwa hawa vibaka ningewaandalia shamba kubwa tu la kilimo, kiasi ambacho chakula watakacholima kingetosha angalau kulisha tanzania nzima kwa nusu mwaka nisingekuwa na nafasi ya mchezo ktk magereza yangu
 
Kwa mfano hivi sasa hawa wanajeshi wetu wamekaa tu, hawana kazi ya kufanya maana kwa dunia ya leo suala la kuwepo kwa vita ni ngumu sana mimi ningewaazishia mpango kamambe wa kilimo ambo kingekuwa na uwezo wa kulipa mishahara yao na ziada na sio kuwaacha kama sasa hivi jamani ebu angalieni wengi walivyoota vitambi kwa ajili ya kula na kulala wakati kuna mapori mazuri tu ya kilimo yamekaa tu badala ya kuongeza vifaru na ndege za kivita ningeongeza magreda, matrecta pamoja na ndege za kumwagilia dawa mashambani na hawa wanajeshi ningewagawa kwa majimbo na vita yao ingekuwa kuchuana kati ya jimbo na jimbo kimavuno na siyo kulenga shabaha hewani wakati adui humuoni
 
Dikteta ni viongozi wanaoamini kuwa wao tu ndio wenye fikra sahihi na wengine wote ni idiots,

je unadhani watanzania tunaweza kuhitaji mtu anayetuona ni idiots???

pls naomba usome kwanza maana ya udikteta wangu kabla ya kutoa hoja yako usikurupuke tu kama lowasa
 
naomba uulize nitaifanyia nini nchi na tena uanishe ni ktk nyanja gani hayo ndiyo maswali ninayotaka na siyo habari ya kuniambia eti kama nilishakuwa katibu kata.maana unanikumbusha mbali sana nilipokuwa naishi tanzania ramani yangu ya ujenzi wa jengo langu ilishindikana kutoka site kwa sababu diwani mmoja hakuipa baraka nilipokuja kufuatilia nikagundua yule diwani hajui kusoma wala kuandika na ramani yangu niliitengeneza chuo kikuu cha dar tena aliyenifanyia ile kazi ni engineer mkongwe na mzoefu,nilipomfuata diwani ili anieleweshe ni wapi imekosewa akaniambia nondo zilizowekwa zilikuwa ni nyingi kwa hiyo jengo lingeweza kuanguka kwa uzito, nilipoonyesha mshangao diwani akaniambia niongee kwa herufi kubwa. kwi,kwi kwi

Kwani ulikwisha kuifanyia nini nchi?
Unajua kwamba Tanzania hatutaki Madikteta?
Sababu gani inakufanya uone kwamba unafaa kuwa Rais, kuliko mimi?
 
pls naomba usome kwanza maana ya udikteta wangu kabla ya kutoa hoja yako usikurupuke tu kama lowasa

Udikteta hauna maana nyingi, maana yake ni mbili tu, na zote ni intimidating. Hivyo hamna haja ya kusoma udikteta wako, labda utafute neno lingine ila kama unazungumzia udikteta hakuna udikteta wako na wa mwingine!!!

Dikteta sio tu kuwa afai kuwa Rais wa nchi bali pia hafai hata kuwa mme, mke au mzazi.

Hivyo basi swali ninaloweza kukuuliza ni hili:
Sisi wananchi wa Tanzania wenye akili timamu hatuwezi kukubali kuwa na kiongozi dikteta, je utajishughulisha na shughuli gani baada ya kuukosa urais?
 
kwani kabla ya kunichagua nilikuwa na shughuli gani? bro vipi mbona hueleweki? au ndiyo niseme unanufaika na hali halisi iliyopo tz sasa hivi!
 
Kwani ulikwisha kuifanyia nini nchi?
Unajua kwamba Tanzania hatutaki Madikteta?
Sababu gani inakufanya uone kwamba unafaa kuwa Rais, kuliko mimi?

niifanyie nini nchi wakati hamjanipa nafasi? nipeni halafu baada ya mwaka ndiyo muulize. na napenda kukuelewesha kuwa udicteta wangu siyo kwa wananchi ila ni kwa wale wote walio fisadi kwa hiyo dada usiogope. 'give me your vote pls"
 
Hatuitaji dikiteta, tunahitaji viongozi na wafanyakazi wanaojua wajibu wao kwa kufanya kazi kulinga na code of conduct za proffessional zao, kama ni lawyer accountant, engineer, public administrator e.t.c wafuate code of conduct zao bila kuleta upendeleo kwa baadhi ya watu the maendeleo yatafikiwa tu kwani kila mtu atawajibika kwa hali na mali.

Polisi wanalipwa mshahara mdogo at the same time watu wanaiba mabilioni kutoka BOT na polisi haohao wanajua kuwa mabosi wao wameshirikiana na wafanyabiashara kuiibia nchi na wao wanaamua kujitafuatia kipato cha ziada kwa kubambikia watu kesi, kufanya ujambazi na kuchukua rushwa.

Huo ni mfano tu kwani hakuna jinsi ambayo hata ukiwa dikiteta utaweza kubadili mfumo mzima kwa kuwaua walipo juu pekee kwani mfumo mzima tayari umeoza unataka kushirikishwa wakati wa kuubadili.
 
Haya yote mimi nayajua kwa mapana na marefu, huna haja ya kunifundisha wewe nipe tu kura yako halafu uone kazi,kwa hali ilivyo sasa kwa tanzania huwezi ukatawala kilegelege halafu mambo yakaenda maana kuna mizizi mibaya ambayo inahitaji udikteta kuing'oa "give me your vote pls"
 
Back
Top Bottom