Naomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania

Pesa zangu kidogo nilizo nazo, halafu ukichanganya na mshahara wangu kama presidaa na vijirupurupu vya safari vinanitosha na familia yangu. halafu isitoshe hata nikistaafu bado naendelea kutunzwa na serikali mpaka kufa kwangu, sasa tamaa nitakuwa nayo ya nini?
 
wewe ulisoma shule gani? na je ktk somo la historia ulipas au ulifeli ,nakukumbusha tu kwa faida yako mpaka sasa hivi kuna nchi zinaendeshwa kidikteta na uchumi wao unapaa mfano ni china au hapo afrika ni libya wewe uko dunia gani?

Katika mifano yote ya nchi zinazotawaliwa kwa mfumo wa udiktekta, umechagua mifano miwili ambayo inavutia sana. Laiti uongozi wa CCM ungekuwa na umakini na uzalendo angalau robo tu ya Communist Party of China (CPC au 中国共产党) ikiwa kama chama pekee chenye kushika hatamu nchini, Tanzania na Watanzania tungefika mbali sana. Huwezi kuamini China hivi leo kama Global Economic Superpower imefika hapo ilipo kwa nguvu na jitihada pekee za chama kimoja tokea enzi za Mao na Chou en Lai!

Vilevile kama tungempata dikteta mwenye busara na uzalendo ambaye ana uchungu sana na nchi yake kama Ghadafi (na ambaye pia ni outstanding "Pro Africa/Pan Africanist aliyekubuhu), basi tungepiga hatua sana kwa kila namna, haswa kiuchumi na kiulinzi na naamini kabisa Tanzania leo hii ingekuwa ni Economic na Military Superpower kwenye nchi za Afrika Mashariki na kati.
 
True dictators do not say they want to be dictators (Caesar, Amin)

Those who say they want to be dictators, by that statement alone, reveal that they do not have what it takes to be a dictator.

---what it takes to be a dictator?
 
Jamani nilisimamisha kumwaga sera ili nipishe bajeti, maana nilijua angalau itakuja na mambo mazuri ya kumpunguzia mtanzania mzalendo machungu yanayomuandama kila uchao,na pia nikisubiri kusikilizia ni wangapi waliokwenda jela ktk hizo kashfa zinazoisonga nchi, lakini baada ya kusoma matokeo yoote nimegundua kuwa ni zero yaani bado tunapiga hatua zetu kwa kurudi kinyumenyume sasa sijui tutaangukia wapi.eny way najua kwa Tanzania ni bora kumekucha,but its true tunahitaji mabadiliko makubwa ya kiutawala, na pia kifikra, maana sasa tumechoka na 'maprofesa mafaili na mabrief case' tumechoka na mawaziri vitambi, tumechoka na wabunge usingizi, tumechoka na maraisi tabasamu. pls naombeni mnipe urais wa Tanzania yenye asali na iliyopewa upendeleo na Mungu ila iliyokosa utawala
 
Major,
Najua hasira za mitima yetu zitaendelea kututawala siku zote, hii tu ni kwa sababu tu tunataka kukwepa lawama za watoto wetu siku za usoni, watoto wetu watatushangaa sana na pia watatuona kama tulikuwa wazembe wa kufikiri, haiwezekani kabisa mijitu michache ijinufaishe na mitoto yao , huko watoot wetu wakikosa elimu, magonjwa yakiwaangamiza.

Major. Najua na wewe waweza kuwa ni moja ya wazalendo kama mimi, nakuhahidi ndugu yangu, hapa kijijini kwangu nina ng'ombe 17 na wote nitawauza ili na wewe upate kupita huku na kule ukiuza sera zako, unasemaje kwa hilo?

Mstahiki Meya mbona Chadema wenzako wanampinga JPM Ikiwa mlitaka rais wa Kariba hii?
 
Back
Top Bottom