Naomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania

Udikteta hauwezi kukuza uchumi hata dakika moja!

wewe ulisoma shule gani? na je ktk somo la historia ulipas au ulifeli ,nakukumbusha tu kwa faida yako mpaka sasa hivi kuna nchi zinaendeshwa kidikteta na uchumi wao unapaa mfano ni china au hapo afrika ni libya wewe uko dunia gani?
 
na watoto watakaokuwa below 18 nao utawatengenezea maadui?

Umeshajiuliza global response kwa kiongozi asiyeheshimu mkataba wa kimataifa wa haki za watoto?

huo uchumi unataka kuukuza kwa kufanya biashara na nani? maana udikteta wako utazaa sanctions tu kwa Tanzania. Open your eyes!!!

wewe ndiyo ufungue macho, narudia tena. suala la biashara liko wazi ninahitaji wawekezaji wa ukweli wenye kuja kufungua viwanda na kadhalika.sihitaji wachuuzi ndani ya nchi yangu wachina wahindi na woote wanaojifanya kupe hapo tanzania wangekiona cha mtema kuni
 
wewe ulisoma shule gani? na je ktk somo la historia ulipas au ulifeli ,nakukumbusha tu kwa faida yako mpaka sasa hivi kuna nchi zinaendeshwa kidikteta na uchumi wao unapaa mfano ni china au hapo afrika ni libya wewe uko dunia gani?

Sanctions hujazungumzia DIKTETA, Libya si umeona kilichowakuta? Utaweza vipi kuendesha uchumi kwenye sanctions?

Mbona hujatoa mfano wa Pakistan au Guinea?

China!!! Usisome figure tu ukidanganyika kuwa China mambo safi!! Au unadanganyika na maghorofa??? China watu wanasota kuliko Bongo. Wewe upeo wako huwezi kuachiwa hata duka uuze!
 
Watanzania Wengi Ni Marehemu Na Wanahitaji Mapinduzi Ya Kifikra Ya Hali Ya Juu Na Pia Wengi Hawajui Maana Ya Kuwa Mtanzania Yaani Hawajui Haki Yao Ya Kuwa Watanzania
 
WEWE NI MPIGA KURA WANGU SIHITAJI MABISHANO ILA HUO UBORA WA WATANZANIA MIMI SIUONI MAANA NINA USHAHIDI WA WATU KUFA NA NJAA WATU HAWANA MAJI YA KUNYWA WATU HAWANA DAWA HSP MAMBO AMBAYO KWA CHINA YALIKWISHA TANGU MWISHONI MWA EZI YA UTAWALA WA MAO.PLS AMKA MYU WANGU AU NI KWA SABABU WEWE UNA UWEZO WA KUNYWA SAFARI BARIDI BASI UNAFIKIRI NI WA TZ WOTE. USIPIME BRO
 
Watanzania Wengi Ni Marehemu Na Wanahitaji Mapinduzi Ya Kifikra Ya Hali Ya Juu Na Pia Wengi Hawajui Maana Ya Kuwa Mtanzania Yaani Hawajui Haki Yao Ya Kuwa Watanzania

Kuhitaji mapinduzi ya kifrikra hakumfanyi mtu kuwa marehemu. Watanzania sio marehemu, ila ni binadamu wenye utashi kama binadamu wengine wote duniani. Tatizo ni bahati mbaya ya kuongozwa na viongozi mafisadi. Kama unavyojua historia ya nchi yetu dhidi ya ukoloni, basi ilipaswa kupata viongozi makini ili kuweza kuiendeleza nchi baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni.

Tupe sera nzuri na sio kutuita marehemu.
 
Narudia Tena Udictetor Wangu Ni Mafisadi Wote Bila Kubagua Hata Kama Wewe Ni Mwana Jf Nitakupitia Tu
 
Kuhitaji mapinduzi ya kifrikra hakumfanyi mtu kuwa marehemu. Watanzania sio marehemu, ila ni binadamu wenye utashi kama binadamu wengine wote duniani. Tatizo ni bahati mbaya ya kuongozwa na viongozi mafisadi. Kama unavyojua historia ya nchi yetu dhidi ya ukoloni, basi ilipaswa kupata viongozi makini ili kuweza kuiendeleza nchi baada ya kupata uhuru kutoka kwa wakoloni.

Tupe sera nzuri na sio kutuita marehemu.

SAMAHANI MTU WANGU NILIKUWA NANUKUU MANENO YA KENYATA NIMETELEZA TU SORRYY
 
Askari Wote Mishahara Juu Angalau Kima Cha Chini Kiwe 300,000
 
Tra Wote Mishahara Juu Kwa Kuwa Hawa Ni Watu Muhimu Basi Angalau Mshahara Wa Chini Ni1.5 Mil Ili Kuwaepusha Na Vishawishi
 
Major naona unanogesha kijiwe, endeleza burudani. Kijiwe watu, na mtu kama wewe akiwepo basi kijiwe hakichachi.
 
Tra Wote Mishahara Juu Kwa Kuwa Hawa Ni Watu Muhimu Basi Angalau Mshahara Wa Chini Ni1.5 Mil Ili Kuwaepusha Na Vishawishi

Mbona hawa jamaa tunasikia wafagiaji ndio wanalipwa kiwango hicho? Unaonaje ukatufikiria sisi walimu? Sio tu kutuongeza mishahara, bali namna ya kutufikishia hiyo mishahara huku vijijini. Tunatumia siku tatu kufika mjini kufuata hiyo mishahara na siku tatu kurudi. Tunatumia muda mwingi kufuatilia mshahara kuliko muda tunaotumia darasani.
 
ningetumia mpango rahisi sana huu wa voda pesa na garama za kutuma mimi ndiye ningelipa wala msijali ,mbona bila ufisadi mambo yote yanawezekana give me your vote man,then you will see
 
kodi ya nyumba za NHC kama zikisimamiwa vizuri zina uwezo wa kulipa mishahara ya wafanyakazi wote wa tanzania. na hili bila ufisadi linawezekana
 
Hili ni bonge la porojo

kwa nini unasema porojo wakati mimi namwaga sera zangu, au ni kipi cha uongo ninachosema ambacho kwa upeo wako unaona kuwa hakiwezekani? sasa nyie wa tz mnataka mungu awape nini ili mzinduke huu usingizi mzito mlio nao?je mlipoambiwa kuwa zile pesa za EPA zimerudi mbona mmeamini na kukaa kimya sasa mlihakikisha vipi kuwa zimerudi ? maana ni desturi yenu kuamini uongo na kukataa ukweli
 
yale majengo yaliyokuwepo nchi nzima yanayojulikana kwa jina la majengo ya ushirika yalijengwa kwa makusudi ya kuja kuwanufaisha wakulima kwa maana pia yalijengwa na pesa zao ili baadaye na wao waweze kupata angalau hiyo kama akiba ya uzeeni lakini kwa ajili ya ufisadi mpaka leo hakuna mkulima yeyote aliyekwisha kunufaika na yale majengo na wengi wao walikwisha kufariki kwa njaa na hivi sasa kodi ya hayo majengo inaingia mfukoni mwa wajanja wachache kweli alivyotuita kenyata hakukosea
 
Major,
Najua hasira za mitima yetu zitaendelea kututawala siku zote, hii tu ni kwa sababu tu tunataka kukwepa lawama za watoto wetu siku za usoni, watoto wetu watatushangaa sana na pia watatuona kama tulikuwa wazembe wa kufikiri, haiwezekani kabisa mijitu michache ijinufaishe na mitoto yao , huko watoot wetu wakikosa elimu, magonjwa yakiwaangamiza.

Major. Najua na wewe waweza kuwa ni moja ya wazalendo kama mimi, nakuhahidi ndugu yangu, hapa kijijini kwangu nina ng'ombe 17 na wote nitawauza ili na wewe upate kupita huku na kule ukiuza sera zako, unasemaje kwa hilo?
 
ISAYA MWITA, "NA BWANA AWE NAWE"Na mimi nakuhakikishia kuwa ktk vita MUNGU yuko upande wa haki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom