Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 12
Naomba niwe na Swali...
Hawa Mafisadi utawafanya nini ukiwa kama Rais Dikteta wa Jamhuri hii..?
Hawa Mafisadi utawafanya nini ukiwa kama Rais Dikteta wa Jamhuri hii..?
SIFA ZANGU 1 NI MZALENDO HALISI NA MPENDA MAENDELEO YA WATANZANIA
naombeni mniulize maswali ili mjue kama mtanichagua nitawafanyia nini watanzania, niko serius
Haya yote mimi nayajua kwa mapana na marefu, huna haja ya kunifundisha wewe nipe tu kuzi ukatawala kilegelege halafu mambo yakaenda maana kuna mizizi mibaya ambayo inahitaji udikteta kuing'oa "give me your vote pls"
niifanyie nini nchi wakati hamjanipa nafasi? nipeni halafu baada ya mwaka ndiyo muulize. na napenda kukuelewesha kuwa udicteta wangu siyo kwa wananchi ila ni kwa wale wote walio fisadi kwa hiyo dada usiogope. 'give me your vote pls"
Naomba niwe na Swali...
Hawa Mafisadi utawafanya nini ukiwa kama Rais Dikteta wa Jamhuri hii..?
...major, 'if my vote' will make a difference, 'chukua'!
NO hawa pamoja na mama zao dawa yao ni ndogo sana yaani ni kuomba picha zao na kutengeneza mabago kila mkoa kila wilaya na kila kijiji, mjini ni kila mahala unabandika picha zao na ujumbe mzito juu kuwa NDUGU WANANCHI HAWA NDIWO WAUAJI WA NCHI YETU MSISHIRIKIANE NAO basi hapo unakuwa umewaua maana watakunywa sumu wenyewe kwa kukosa marafiki na hii ndiyo staili ya kule CHINA na staili hii unaambiwa ndiyo komesha ya mambo yote maana hawa hata wakiingia dukani kufanya shoping mwenye duka hawauzii mama aliingia sokoni soko linafungwa hawauzi mwisho wanaona duniani siyo mahala pao kwa hiyo wake wa viongozi wote wangekuwa makini na waume zao sana!! na hata watoto wangekuwa makini na wazazi wao wasije aibika
Major
Ndugu yangu umenuia kweli? acha basi utani, tunajua watanzania tumechoka na haya tuyaonayo leo,unaonaje kama ukiwashawishi JF wote kwanza wakuchangie pesa za kampeni kwanza? usisahau kupita nchi nzima si mchezo, pamataka chochote kitu, ama unazo mkononi? basi na mimi kura yangu unayo, lakini pia nitakuwa mpiga kampeni wako wewe waonaje?
na watoto watakaokuwa below 18 nao utawatengenezea maadui?
Huree wangetokea wengi kama major Tanzania ingekuwa kwenye G9
we kweli dikteta na mbio zako za ikulu zitaishia kwenye thread hii!
Unaomba kuwa Rais Dikteta wa Tanzania? unaemwomba nani?anza kwa kututhibitishia udikteta wako nyumbani kwaqko na kazini kwako halafu tutakufikiria vingingevyo tayari tunaye MFALME JUHA tafuta post zake utazipata humu
Sasa ndugu yangu wewe kizuri kwako ni kipi? kuwa na raisi dikteta uchumi ukapaa au kuwa na raisi mwenye tabasamu halafu "mbwa akalamba reli"
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu hakuna salia mtume