Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,932
- 4,049
Hivi wifi hotspot, za sehemu mbali mbali mfano vyuon, mahotelin n.k, huwa zinalipiwa? (namaanisha hao wanotoa hiyo huduma ya wireless, mf chuo kuna sehemu wanalipia ?)
Yes wanalipia.Hivi wifi hotspot, za sehemu mbali mbali mfano vyuon, mahotelin n.k, huwa zinalipiwa? (namaanisha hao wanotoa hiyo huduma ya wireless, mf chuo kuna sehemu wanalipia ?)
Yes wanalipia.
Internet provider yoyote yule, mitandao ya simu, TTCL, Simba Net, Cats Net etc.Wanalipia kwa nan? mitandao ya simu au?
Wengine huwa hawalipii... Wenye mitandao e.g SMILE COMMUNICATIONS wanatumia kujulikana kwa sehemu husika kujitangaza. Hivyo basi wanawapa free GB na password wenye eneo ili wateja husiki wakija kupata huduma ya eneo husika, wanapewa na free internet.Hivi wifi hotspot, za sehemu mbali mbali mfano vyuon, mahotelin n.k, huwa zinalipiwa? (namaanisha hao wanotoa hiyo huduma ya wireless, mf chuo kuna sehemu wanalipia ?)
Internet provider yoyote yule, mitandao ya simu, TTCL, Simba Net, Cats Net etc.
Ile Wifi ni technolojia ya kuunga device na source ya internet kwa distance fupi tu, so instead of kupisha cables, so internet yenyewe haina tofauti.
Wengine huwa hawalipii... Wenye mitandao e.g SMILE COMMUNICATIONS wanatumia kujulikana kwa sehemu husika kujitangaza. Hivyo basi wanawapa free GB na password wenye eneo ili wateja husiki wakija kupata huduma ya eneo husika, wanapewa na free internet.
Yes, au unaweza kufanya mwenyewe, sio complicated kwa basic wifi inayosupport watu wachache.Hapo nimekuelewa mkuu asante sana, kwa hiyo hata installation hao hao ndo hufanya?